Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Umenikumbusha, mwezi uliopita nilikutana na Fortuner kwenye stretch moja iliyonyooka, akataka kuweka ligi, nilikuwa na Bike, nikavuta mpaka 220kph, alikaa chini. Kama yupo humu na anakumbuka kukutana na bike maeneo ya kanda ya ziwa, ningefurahi Kuchota naye.
Kuna pikipiki zinakimbia aiseee. Kuna siku natokea Singida, tulivyofika maeneo ya karibia na chalinze ilikuja pikipiki nyuma wala sio kubwa sana ilitukata tukiwa 150, mbele kulikuwa na crown, akamkata na yule mwenye crown taratibu kama masihara maana ilikuwa ni sehemu barabara imenyooka. Gari zima tukabaki tunacheka[emoji16][emoji16]. Yule mwamba hata sijui pikipiki gani ile alikuwa anapepea tu.
 
Ya kwangu maximum speed ni 240kph. Sijawahi ifuta naishia 225
 
Ni swala la comfort mkuu.

Tumia muda mwingi kuset kiti namna ambayo unapenda, na kama huipati then uwe una ki adjust mara kwa mara safarini. Pia AC na features nyingine kwenye gari zitumie kupata maximum comfort.

Hapa ndio wanasema mwenye Range na mwenye Vitz wote wanafika, ila kuna mmoja anafika fresh [emoji13]

[mention]lucley [/mention]
 
Dom-Dar
Screenshot_2023-06-10-23-30-24-326_com.google.android.apps.maps.jpg
 
Kuna pikipiki zinakimbia aiseee. Kuna siku natokea Singida, tulivyofika maeneo ya karibia na chalinze ilikuja pikipiki nyuma wala sio kubwa sana ilitukata tukiwa 150, mbele kulikuwa na crown, akamkata na yule mwenye crown taratibu kama masihara maana ilikuwa ni sehemu barabara imenyooka. Gari zima tukabaki tunacheka[emoji16][emoji16]. Yule mwamba hata sijui pikipiki gani ile alikuwa anapepea tu.
Kitu ninacho tamani kwa sasa ni kupata hiyo kitu ... Natamani kupata Yamaha Super Tenere 700cc ni moto ulao.
 
Back
Top Bottom