Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Useful
 

Hiyo iko vizuri utatoboa bila shida na barabara ni nzuri
 
Mkuu, badala ya kwenda na kurudi njia iyo iyo kwanini usifanye mzunguko?



Ingawa sina uhakika na iyo njia ya Muso. A to Arusha (nadhani unapita Serengeti) kama inapitika kwa gari kama Wish.

Ingekua inapitika ungezunguka ingekua unyama. Unless kue na ulazima wa kurudia njia Ile ile ulieendea (ya Dodoma).
 
Ni idea nzuri kabisa ila Wish iko chini sana sidhani kama itaweza kupita njia ya Serengeti njia hiyo inafaa gari zilizo juu kidogo au Off Road 4WD kabisa.
 
Mwezi wa 5, ulikuwa mbaya sana kwangu nilikula mizinga miwili japo haikuwa mikubwa sana ila chochote kingeweza kutokea

1. Saa 8 usiku nikirudi home, kuna jamaa alikuwa na subaru alinichomekea maeneo africana baada ya kutaka ku overtake mbele akakutana la lorry limeharibika ikabidi arudi kulia nilipokuwa nikamkwepa kidogo, shughuli ikaishia hapo maana niligonga kerb nikavunja rim, kiufupi gari chini kote imebidi kubadilishe. Kiufupi hata mimi nilikuwa kibati hapa Mungu kaniokoa

2. Siku ya fainali ya yanga, nimechek game wakati nikiwa narudi home, sijui hata ilikuaje nilikuwa naongea na simu nikajikuta nimeingia nyuma ya excavator sijui hata lilikuwa linafanya nini barabarani mda huo, japo kukosa umakini kwangu kulichangia na nilikuwa nimeshapiga vyombo kiasi

Ila ninamshuku Mungu nipo salama japo hii ajali ya pili ilitikisa mwili kiasi mpaka sasa hivi nina maumivu maeneo ya bega.
 
So sad, but our God is great. Pole sana mkuu.
 
pole sn mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…