fahad singh
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 207
- 490
Shukran mkuu nimefika salamaSafari njema
Ukifuata hayo huwezi kuishi Duniani kwa raha,jaribu kuangalia bei za pikipiki kama BMW GS, HONDA AFRICA TWIN, YAMAHA SUPER TENERE 1250ccHiyo hela si navuta discovery 3 used
Ka gari ka alfu tatu?Wakuu habari ya uzima, nipo moshi nimeingia asubuhi kutokea dar sasa hivi najiandaa kuelekea pangani, sijakutana na changamoto yoyote njiani kuhusu usafiri natumia kibiriti au baby walker kama mnavyoziita huko dar
𝐋𝐚𝐛𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐧𝐠𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐞𝐧𝐞𝐨 𝐧𝐚 𝐮𝐤𝐚𝐧𝐝𝐚 𝐭𝐮𝐤𝐢𝐚𝐧𝐳𝐢𝐚 𝐃𝐚𝐫 𝐀𝐫𝐮𝐬𝐡𝐚 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐞𝐧𝐞𝐨 𝐮𝐧𝐚𝐭𝐞𝐦𝐛𝐞𝐚Hii comment iprintiwe kisha iwekewe lamination na kila kijana apate kuiona.
Hahaha hapana mkuu gari ni ya mln30 auris hybrid 2010Ka gari ka alfu tatu?
cc 180 kugusa 200 kawaida?kuna kipi kilichoboreshwa maana baja cc250 hata 180 km/h haifiki.Kuna pikipiki inaitwa sinoray ina cc 180 ile ngoma kugusa speed 200 ni kawaida kwa sasa ukitoa hizi cc200 na 250 sinoray za kichina zina habari nyingine na ukiziona zina muundo kama wa fekon haojue au kinglion ila ni habari nyingine ndio zinawamaliza watoto wa arusha kwa mambio
Mimi nna hichi kifaaa dar moro fasta tu cc 180 king lion mwendo wake sio mdogo kama una gari tunaweza sumbuana road japo nataka nichukue pikipiki inayoanzia cc600.cc 180 kugusa 200 kawaida?kuna kipi kilichoboreshwa maana baja cc250 hata 180 km/h haifiki.
Sasa app ina kazi gani kama kufungua picha mpaka tutumie browser hii app ni ya kisenge waifute tu tutumie browser mazimaItakuwa ni simu yako [emoji23][emoji23]
Mbona natumia browser na imefunguka fresh
Yaani hiki ni kituko aisee, ubaya sasa hili tatizo lina zaidi ya miezi 3 sasa na wahusika wamezubaa tu kama hakuna kitu vile.Sasa app ina kazi gani kama kufungua picha mpaka tutumie browser hii app ni ya kisenge waifute tu tutumie browser mazima
Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
Anza na Kilwa Kivinje, Kisiwani, Masoko Hadi Msimbati nkHivi hii njia ya dar Lind Mtwara, kuna maeneo gan mazuri ya kutalii?
FTC yake inaingia 55litres sijajua inatumia mafuta kiasi gani Kwa kilomita ila kipige full vuka hadi dom weka lita zingine 20 hapo nafikiri lita 70/80 zinakufikisha hadi mwanza.Vp wakuu natgemea kutoka dar to mwanza mwanzoni mwa mwezi wa nane .Aina ya gari ni premio ya cc 1490 inaweza tumia Lita ngapi za petrol kwa root hiyo...
Vp wakuu natgemea kutoka dar to mwanza mwanzoni mwa mwezi wa nane .Aina ya gari ni premio ya cc 1490 inaweza tumia Lita ngapi za petrol kwa root hiyo...
Ina bei gani hiiMimi nna hichi kifaaa dar moro fasta tu cc 180 king lion mwendo wake sio mdogo kama una gari tunaweza sumbuana road japo nataka nichukue pikipiki inayoanzia cc600.View attachment 2686902View attachment 2686903View attachment 2686904
4.5m nilinunua mwaka juzi sasa sijui saivi zimesimamaje.Ina bei gani hii
[emoji23][emoji23] anabattle na gari ya matairi mawiliKama kawaida yangu Jumamosi uwa natoka na bike kuondoa carbon Kwenye exhaust. Leo Nikakutana na crown athlete new model nyekundu. Nahisi dreva alikuwa hajui the power of a BMW bike. He has a story to tell kama yupo humu; ila aache ushamba; kwa nini mwanzoni ulikuwa unaniblock nikitaka kuku-overtake?
Usithubutu kuweka ligi na machine ya mjerumani.
Lc 300 Number A, duuh [emoji16]Kwa injini hiyo hiyo niliweka full tank Puma mwenge 33l nimefika nayo Arusha na kuzunguka kidogo mpaka taa imekuja kuwaka ilikua 621km.
Juzi kuamkia jana nikaweka hizo hizo zimenifikisha Dar na bado ninayo. Na hapo kati nilikilmbizana mnoo na LC 300 kwanzia mwanga mpaka mombo. Ashukuriwe huyo mwenye LC na king’ora chake T*** AQM mlinichangamsha naimani na nyinyi mlichangamka kama mpo humu japo sio kiushindani. Kwahiyo kama gari yako iko na service nzuri naimani around 60lit zina kufikisha. Jitahidi kama una uwezo sehemu kubwa ya safari yako iwe usiku. Dar-Arus-Dar nimetumia 221000. Hiyo buku nilimpq afande ya kahawa sikua na kosa nikaona nimtoe. Iliyobaki ni mafuta. Nilisimama mara chache kuchimba dawa. Niliondoka puma mwenge saa 10:47 usiku nilifika Mianzini saa 6:30 asubuhi. View attachment 2695373