Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu habari ya uzima, nipo moshi nimeingia asubuhi kutokea dar sasa hivi najiandaa kuelekea pangani, sijakutana na changamoto yoyote njiani kuhusu usafiri natumia kibiriti au baby walker kama mnavyoziita huko dar
Ka gari ka alfu tatu?
 
Hii comment iprintiwe kisha iwekewe lamination na kila kijana apate kuiona.
𝐋𝐚𝐛𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐧𝐠𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐞𝐧𝐞𝐨 𝐧𝐚 𝐮𝐤𝐚𝐧𝐝𝐚 𝐭𝐮𝐤𝐢𝐚𝐧𝐳𝐢𝐚 𝐃𝐚𝐫 𝐀𝐫𝐮𝐬𝐡𝐚 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐞𝐧𝐞𝐨 𝐮𝐧𝐚𝐭𝐞𝐦𝐛𝐞𝐚
 
Juzi nimetoka kyela nikiwa ndani ya newforce nashangaa huu unazi wa sasa hivi,mwendo ni wa kobe ujanja katika kuovateki tu,inaboa sana mbezi tumeingia saa 4 na tumetoka saa 12 alfajiri na basi jipya EC..series.Bora nipande hata coaster japo wanazibania.Viongozi wao ni mchamchaka tu ina maana wao hawaogopi kufa!
 
Kuna pikipiki inaitwa sinoray ina cc 180 ile ngoma kugusa speed 200 ni kawaida kwa sasa ukitoa hizi cc200 na 250 sinoray za kichina zina habari nyingine na ukiziona zina muundo kama wa fekon haojue au kinglion ila ni habari nyingine ndio zinawamaliza watoto wa arusha kwa mambio
cc 180 kugusa 200 kawaida?kuna kipi kilichoboreshwa maana baja cc250 hata 180 km/h haifiki.
 
cc 180 kugusa 200 kawaida?kuna kipi kilichoboreshwa maana baja cc250 hata 180 km/h haifiki.
Mimi nna hichi kifaaa dar moro fasta tu cc 180 king lion mwendo wake sio mdogo kama una gari tunaweza sumbuana road japo nataka nichukue pikipiki inayoanzia cc600.
PXL_20230713_154405816.NIGHT.jpg
PXL_20230713_154225652.NIGHT.jpg
PXL_20230713_154032049.jpg
 
Vp wakuu natgemea kutoka dar to mwanza mwanzoni mwa mwezi wa nane .Aina ya gari ni premio ya cc 1490 inaweza tumia Lita ngapi za petrol kwa root hiyo...
FTC yake inaingia 55litres sijajua inatumia mafuta kiasi gani Kwa kilomita ila kipige full vuka hadi dom weka lita zingine 20 hapo nafikiri lita 70/80 zinakufikisha hadi mwanza.
 
Vp wakuu natgemea kutoka dar to mwanza mwanzoni mwa mwezi wa nane .Aina ya gari ni premio ya cc 1490 inaweza tumia Lita ngapi za petrol kwa root hiyo...

Kwa injini hiyo hiyo niliweka full tank Puma mwenge 33l nimefika nayo Arusha na kuzunguka kidogo mpaka taa imekuja kuwaka ilikua 621km.
Juzi kuamkia jana nikaweka hizo hizo zimenifikisha Dar na bado ninayo. Na hapo kati nilikilmbizana mnoo na LC 300 kwanzia mwanga mpaka mombo. Ashukuriwe huyo mwenye LC na king’ora chake T*** AQM mlinichangamsha naimani na nyinyi mlichangamka kama mpo humu japo sio kiushindani. Kwahiyo kama gari yako iko na service nzuri naimani around 60lit zina kufikisha. Jitahidi kama una uwezo sehemu kubwa ya safari yako iwe usiku. Dar-Arus-Dar nimetumia 221000. Hiyo buku nilimpq afande ya kahawa sikua na kosa nikaona nimtoe. Iliyobaki ni mafuta. Nilisimama mara chache kuchimba dawa. Niliondoka puma mwenge saa 10:47 usiku nilifika Mianzini saa 6:30 asubuhi.
IMG_1325.jpg
 
Kama kawaida yangu Jumamosi uwa natoka na bike kuondoa carbon Kwenye exhaust. Leo Nikakutana na crown athlete new model nyekundu. Nahisi dreva alikuwa hajui the power of a BMW bike. He has a story to tell kama yupo humu; ila aache ushamba; kwa nini mwanzoni ulikuwa unaniblock nikitaka kuku-overtake?
Usithubutu kuweka ligi na machine ya mjerumani.
 
[emoji23][emoji23] anabattle na gari ya matairi mawili
 
Kwa injini hiyo hiyo niliweka full tank Puma mwenge 33l nimefika nayo Arusha na kuzunguka kidogo mpaka taa imekuja kuwaka ilikua 621km.
Juzi kuamkia jana nikaweka hizo hizo zimenifikisha Dar na bado ninayo. Na hapo kati nilikilmbizana mnoo na LC 300 kwanzia mwanga mpaka mombo. Ashukuriwe huyo mwenye LC na king’ora chake T*** AQM mlinichangamsha naimani na nyinyi mlichangamka kama mpo humu japo sio kiushindani. Kwahiyo kama gari yako iko na service nzuri naimani around 60lit zina kufikisha. Jitahidi kama una uwezo sehemu kubwa ya safari yako iwe usiku. Dar-Arus-Dar nimetumia 221000. Hiyo buku nilimpq afande ya kahawa sikua na kosa nikaona nimtoe. Iliyobaki ni mafuta. Nilisimama mara chache kuchimba dawa. Niliondoka puma mwenge saa 10:47 usiku nilifika Mianzini saa 6:30 asubuhi. View attachment 2695373
Lc 300 Number A, duuh [emoji16]
 
Back
Top Bottom