Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ombi ndugu madereva,ulikuwa unatembea taraatibu,mwenzio Yuko nyuma Yako na paso,eti kisa unaendesha crown basi ndio unaongeza speed eti kisa hutaki kupitwa na Passo, wengi wameua watu kwa league na kiburi Cha dharau, ,,,una gari ni nzito inaenda speedy,basi tembea speed,huna halaka acha wenye Suzuki alto na Passo wakupite maana wanataka kuwai,Kila mtu anajua crown Ina speed,
 
Hahahaaa pole sana sana. Naona jamaa wa majesta wamekuvimbia kwa highway [emoji23][emoji23][emoji23]. Samehe tu! Vijana wengi wana ulimbukeni wa speed ndio maana wanateketea sana kwa ajali.
 
Wazee mpo! Leo Nina trip ndefu sana. Tayari nimeanza mda huu kutokea Ubungo kuelekea Bukoba.

Nitawapatieni updates. Sala zenu wakuu

Update:

Saa5:03 Msamvu. Hapa nina notification moja ya ku overtake, nurse amegoma kula buku2 akaandika.
All the best bro. Una safari ndefu sana. Umejiandaaje, upo mwenyewe au upo na company?

1. Uwe una break after 2 hours au kila baada ya kilometa 150-200.
2. Kunywa sana maji.
3. Ukifika sehemu yenye 50 hafu ni porini, Shusha vioo ata 10 minutes.
4. Speed nzuri kwa mafuta ni 70-80 hauna haja ya kwenda 100+ ina ongeza consumption na haina msaada katika muda wa kufika.
5. Ukichoka pumzika.
Safari njema mkuu.
 
Hahahaaa pole sana sana. Naona jamaa wa majesta wamekuvimbia kwa highway [emoji23][emoji23][emoji23]. Samehe tu! Vijana wengi wana ulimbukeni wa speed ndio maana wanateketea sana kwa ajali.
Sisi tulikuwa kwenye gari ya umma, show Iko mbele yetu, jamaa ana crown sijui anachat yule,high way, bro wa watu Yuko na Passo ,kutoa jam kaamua kumpita jamaa, MITA 300 Kuna roli,kakomaa nae kama MITA 100 watu huku tumeshika vichwa,dereva wetu kapunguza mwendo ili kumpa jamaa wa Passo arudi mahari pake,jamaa na crown kakomaa,baadae ndio naona kaingiliwa na utu kapunguza mwendo kamwacha jamaa, roli limefika MITA 50,,,ajari ingetokea ungesikia makosa ya dereva kuovertake, ila kumbe ni boya mwingine tu alikosa utu, kauwa watu na kaondoka
 
70-80 speed safari ya Dar to bukoba ?angalau 100 -120 rpm haizidi 3
 

Asante sana kaka kwa ushauri wako. Yote hayo nitayazingatia
Nipo na kijana mwingine dereva wa mke wangu.
Nipo na mke wangu pia na watoto kwa hiyo ni family trip.
Hapa niko Dodoma napata ugali na mbuzi choma, kisha Safari itaanza tena Insh’Allah
 
Jamaa alimkazia mguu makusudi 🤣 hio ngoma unakufa vibaya sanaa maana hutakaa uimalize gari unayotaka kuikata hadi unakumbwa na gari la mbele yako.
 

Mbona hatuna hayo mambo

Udereva ni ustaarabu wa mtu binafsi

Lkn nawew kabla ya ku overtake omba site

Unakuta anakuepusha labda kaona kitu mbele ambacho hujakiona mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…