Jebel
JF-Expert Member
- Jul 10, 2021
- 347
- 2,325
Kama utafka mpaka Karagwe tuonane tupige hata kapicha boss
Hapana kaka nitaishia Bkb mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama utafka mpaka Karagwe tuonane tupige hata kapicha boss
Hahahaaa pole sana sana. Naona jamaa wa majesta wamekuvimbia kwa highway [emoji23][emoji23][emoji23]. Samehe tu! Vijana wengi wana ulimbukeni wa speed ndio maana wanateketea sana kwa ajali.Ombi ndugu madereva,ulikuwa unatembea taraatibu,mwenzio Yuko nyuma Yako na paso,eti kisa unaendesha crown basi ndio unaongeza speed eti kisa hutaki kupitwa na Passo, wengi wameua watu kwa league na kiburi Cha dharau, ,,,una gari ni nzito inaenda speedy,basi tembea speed,huna halaka acha wenye Suzuki alto na Passo wakupite maana wanataka kuwai,Kila mtu anajua crown Ina speed,
All the best bro. Una safari ndefu sana. Umejiandaaje, upo mwenyewe au upo na company?Wazee mpo! Leo Nina trip ndefu sana. Tayari nimeanza mda huu kutokea Ubungo kuelekea Bukoba.
Nitawapatieni updates. Sala zenu wakuu
Update:
Saa5:03 Msamvu. Hapa nina notification moja ya ku overtake, nurse amegoma kula buku2 akaandika.
Sisi tulikuwa kwenye gari ya umma, show Iko mbele yetu, jamaa ana crown sijui anachat yule,high way, bro wa watu Yuko na Passo ,kutoa jam kaamua kumpita jamaa, MITA 300 Kuna roli,kakomaa nae kama MITA 100 watu huku tumeshika vichwa,dereva wetu kapunguza mwendo ili kumpa jamaa wa Passo arudi mahari pake,jamaa na crown kakomaa,baadae ndio naona kaingiliwa na utu kapunguza mwendo kamwacha jamaa, roli limefika MITA 50,,,ajari ingetokea ungesikia makosa ya dereva kuovertake, ila kumbe ni boya mwingine tu alikosa utu, kauwa watu na kaondokaHahahaaa pole sana sana. Naona jamaa wa majesta wamekuvimbia kwa highway [emoji23][emoji23][emoji23]. Samehe tu! Vijana wengi wana ulimbukeni wa speed ndio maana wanateketea sana kwa ajali.
70-80 speed safari ya Dar to bukoba ?angalau 100 -120 rpm haizidi 3All the best bro. Una safari ndefu sana. Umejiandaaje, upo mwenyewe au upo na company?
1. Uwe una break after 2 hours au kila baada ya kilometa 150-200.
2. Kunywa sana maji.
3. Ukifika sehemu yenye 50 hafu ni porini, Shusha vioo ata 10 minutes.
4. Speed nzuri kwa mafuta ni 70-80 hauna haja ya kwenda 100+ ina ongeza consumption na haina msaada katika muda wa kufika.
5. Ukichoka pumzika.
Safari njema mkuu.
All the best bro. Una safari ndefu sana. Umejiandaaje, upo mwenyewe au upo na company?
1. Uwe una break after 2 hours au kila baada ya kilometa 150-200.
2. Kunywa sana maji.
3. Ukifika sehemu yenye 50 hafu ni porini, Shusha vioo ata 10 minutes.
4. Speed nzuri kwa mafuta ni 70-80 hauna haja ya kwenda 100+ ina ongeza consumption na haina msaada katika muda wa kufika.
5. Ukichoka pumzika.
Safari njema mkuu.
Jamaa alimkazia mguu makusudi 🤣 hio ngoma unakufa vibaya sanaa maana hutakaa uimalize gari unayotaka kuikata hadi unakumbwa na gari la mbele yako.Sisi tulikuwa kwenye gari ya umma, show Iko mbele yetu, jamaa ana crown sijui anachat yule,high way, bro wa watu Yuko na Passo ,kutoa jam kaamua kumpita jamaa, MITA 300 Kuna roli,kakomaa nae kama MITA 100 watu huku tumeshika vichwa,dereva wetu kapunguza mwendo ili kumpa jamaa wa Passo arudi mahari pake,jamaa na crown kakomaa,baadae ndio naona kaingiliwa na utu kapunguza mwendo kamwacha jamaa, roli limefika MITA 50,,,ajari ingetokea ungesikia makosa ya dereva kuovertake, ila kumbe ni boya mwingine tu alikosa utu, kauwa watu na kaondoka
Safari ya mbali kama Bukoba utembelee speed ya hivyo si utachoka sana njiani. Umeamua kwenda Bukoba na gari kanyaga kibati aisee.... 1000kms+ uende kwa kunyata tena. Labda kama gari yako haina service ya kueleweka.70-80 speed safari ya Dar to bukoba ?angalau 100 -120 rpm haizidi 3
Speed ya chini kabisa hapo ni 90-100km/hrs, otherwise ni 120-140km/hr.Safari ya mbali kama Bukoba utembelee speed ya hivyo si utachoka sana njiani. Umeamua kwenda Bukoba na gari kanyaga kibati aisee.... 1000kms+ uende kwa kunyata tena. Labda kama gari yako haina service ya kueleweka.
Hio 120-140 angalau gari utaona inaenda yani. 🤣Speed ya chini kabisa hapo ni 90-100km/hrs, otherwise ni 120-140km/hr.
Nyie majamaa siwezi panda na nyie gari. 😁😁Hio 120-140 angalau gari utaona inaenda yani. 🤣
Hahahahah hamna jinsiNyie majamaa siwezi panda na nyie gari. 😁😁
Wanaliona sema wanasubr hela iwenyng walijenge kwa bilion 10 kama mengne inakua poa zaid.Aisee hivi wakuu tanroad wanangojea nini kuweka lami hili dalaja la bahi yapi merkezi??
Wakikutana na Mjerumani ndio wanaweza jiua kabisa bila kisaHahahaaa pole sana sana. Naona jamaa wa majesta wamekuvimbia kwa highway [emoji23][emoji23][emoji23]. Samehe tu! Vijana wengi wana ulimbukeni wa speed ndio maana wanateketea sana kwa ajali.
[emoji15][emoji15] haka kakipande tu ndo billion 10??Wanaliona sema wanasubr hela iwenyng walijenge kwa bilion 10 kama mengne inakua poa zaid.
Ombi ndugu madereva,ulikuwa unatembea taraatibu,mwenzio Yuko nyuma Yako na paso,eti kisa unaendesha crown basi ndio unaongeza speed eti kisa hutaki kupitwa na Passo, wengi wameua watu kwa league na kiburi Cha dharau, ,,,una gari ni nzito inaenda speedy,basi tembea speed,huna halaka acha wenye Suzuki alto na Passo wakupite maana wanataka kuwai,Kila mtu anajua crown Ina speed,