Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii kitu utaiona Botswana 🇧🇼 Namibia 🇳🇦 na sasa zambia 🇿🇲, kati ya Lusaka hadi livingstone (560km)hakuna check points, wameondoa zote
Kali kinyama,pia safi kimyama. Hongera kiongoziView attachment 2716200
Dodoma usiku wa leo
Gari ina msukumo ambao ni sahihi,msukumo unaotegemea ubadilishaji wa gear,msukumo ambao ni wa kasi sana na msukumo ambao ni mdogo lakini unaotegemea dereva auruhusu uwe wa kati au msukumo mkubwa zaidi una impact yake ktk ulaji wa mafutaHapa embu tuwekane sawa kdg ni 70-80 ama ni 90 - 100 inayotunza mafuta na sababu km hutojali mkuu[emoji120]
Mapemq sana mkuuMkuu ulishavuta kitu?
Hili darasa zuri sana, kwahio 40-55 poa,70-80 majanga kwenye mafuta.90-100 pia ipo poa.umefafanua vizuri ila kwa mimi mwenye vyeti vitatu vya form four bado sijakuelewa vizuri.Gari ina msukumo ambao ni sahihi,msukumo unaotegemea ubadilishaji wa gear,msukumo ambao ni wa kasi sana na msukumo ambao ni mdogo lakini unaotegemea dereva auruhusu uwe wa kati au msukumo mkubwa zaidi una impact yake ktk ulaji wa mafuta
1. Speed 70 ktk mwendo mrefu unailazimisha gari kutumia gear kubwa muda mwingi,huku uzito wa gari ukilazimisha muendeshaji aendelee kubadilisha gear na kukanyaga mafuta, ukiilazimisha isiende ibaki hapo hapo gari inakua nzito pasi wewe kustuka hilo,na inasababisha ulaji wa mafuta uongezeke
2. Gari inayo fika speed 120 na kuendelea,msukumo wa accelerator ukiwa mkubwa (high speed) na mapigo yake kwenye nozel inatema mafuta kwa kasi na kusababisha ulaji mkubwa wa mafuta.
Kasi inayoweza kukuokolea mafuta ni 40speed - 55speed ktk mwendo wa safari za kawaida,na katika safari ndefu 90-100speed inakuokolea mafuta kwa sababu ina balance change gear na uzito wa body zima kwa ujumla,yaani inakaa kwenye uwiano sawa.
Uko sahihi ila msema kweli ni RPM.Gari ina msukumo ambao ni sahihi,msukumo unaotegemea ubadilishaji wa gear,msukumo ambao ni wa kasi sana na msukumo ambao ni mdogo lakini unaotegemea dereva auruhusu uwe wa kati au msukumo mkubwa zaidi una impact yake ktk ulaji wa mafuta
1. Speed 70 ktk mwendo mrefu unailazimisha gari kutumia gear kubwa muda mwingi,huku uzito wa gari ukilazimisha muendeshaji aendelee kubadilisha gear na kukanyaga mafuta, ukiilazimisha isiende ibaki hapo hapo gari inakua nzito pasi wewe kustuka hilo,na inasababisha ulaji wa mafuta uongezeke
2. Gari inayo fika speed 120 na kuendelea,msukumo wa accelerator ukiwa mkubwa (high speed) na mapigo yake kwenye nozel inatema mafuta kwa kasi na kusababisha ulaji mkubwa wa mafuta.
Kasi inayoweza kukuokolea mafuta ni 40speed - 55speed ktk mwendo wa safari za kawaida,na katika safari ndefu 90-100speed inakuokolea mafuta kwa sababu ina balance change gear na uzito wa body zima kwa ujumla,yaani inakaa kwenye uwiano sawa.
nkaniniHuu Uzi nimeusaka kwa muda sana hatimae....
Wazee wa "Road trip" Kuna Active member mmoja wa huu Uzi ila yeye ni Suka wa Malory (comment zake anapiga masafa mikoani )
mnaweza kumtag please maana nimemsahau jina
Wajerumani tunacheka [emoji1787][emoji1787]Uko sahihi ila msema kweli ni RPM.
Ukitaka savings za wese hakikisha kwa speed yako unayotembea gari iwe kwenye rotation kati ya 1500-2500! Balance humo humo na mara nyingi gari zetu hizi za mjapani RPM hizo unazipata kati ya speed 80-120
Ila kama unakanyagia rotation ya 3000 au zaidi kwa mda mrefu tu jua kipigo kikali kitakuhusu na kukuacha na simanzi mda si mrefu utalazimika kwenda sheli.
Nadhani unamaanisha @wigelekoNdio jina lake Hilo au??
Kwenye Coaster wanaweza wakatumia engine ya kwenye Hino 300/Dutro engine ya 15B-FTEWakuu 70 series hazitakuwa tena na engine ya 1hz badala yake zitakuwa na 1gd ftv 2.8L ule mzuka wa HZ ndo basi tena!zile engine za L300 wangeziweka kwenye 70series ikiwezekana hata kwenye coaster maana NO 4C washaachana nazo pia.
Pole kiongoziWazee salamu,
Mwenzenu nimepata ajali juzi kati huku kijijini nilipokuja likizo. Ajali ilikuwa ya ajabu kidogo kwani,
-speed ilikuwa 40!
-gari RAV4
-volume ya mziki 10, wimbo wa Chiqitita-ABBA
-barabara rough road lakini nzuri haina kona wala tuta
-mda saa5 asubuhi
-nilikuwa na masaa 2 tangia nipate bia moja kwa hiyo nilikuwa sober kabisa
MADHARA
-Mimi nilitoka salama 100%
-Chombo iko hoi bin taabani
Tuendelee kuombeana mambo ni mengi nimeshindwa kuandika vema[emoji17]
Pole sn mkuu!Wazee salamu,

Wazee salamu,

Hiyo 15B imeishia 2006,wamedai watatumia 1GD FTV.Kwenye Coaster wanaweza wakatumia engine ya kwenye Hino 300/Dutro engine ya 15B-FTE
Mkuu hivi unajua kuna Hino 300/Dutro zina engine ya 1GD-FTE hapo Kenya zimejaa. 1GD ikibeba mzigo wa tani 3 ina struggle sana, hiyo ni nzuri kwa mbio sio heavy works za towing.Hiyo 15B imeishia 2006,wamedai watatumia 1GD FTV.