Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si hadi juma tano next week? Kwa huu uhaba wa mafuta naona yatapanda tu, naona wafanyabiashara wameshapata taarifa kuwa bei itapanda ndio maana wanabana kuuza sasaivi ili waje kupiga super profit.Wazee wa road trip
Vp mafuta yanapanda bei au yanashuka??
Nsije nkaweka full tank afu kesho yakashuka 2700
Si hadi juma tano next week? Kwa huu uhaba wa mafuta naona yatapanda tu, naona wafanyabiashara wameshapata taarifa kuwa bei itapanda ndio maana wanabana kuuza sasaivi ili waje kupiga super profit.
Naona Itaongezeka 200
Kwani sio huwa ni jumatano ya kwanza ya mwezi ndio huwa wanatangaza bei?Hapana taarifa huwa inatoka most tar 1 au tar 2
Kwhiyo probably kesho tutaanza bei mpya
Wazee salamu,
Mwenzenu nimepata ajali juzi kati huku kijijini nilipokuja likizo. Ajali ilikuwa ya ajabu kidogo kwani,
-speed ilikuwa 40!
-gari RAV4
-volume ya mziki 10, wimbo wa Chiqitita-ABBA
-barabara rough road lakini nzuri haina kona wala tuta
-mda saa5 asubuhi
-nilikuwa na masaa 2 tangia nipate bia moja kwa hiyo nilikuwa sober kabisa
MADHARA
-Mimi nilitoka salama 100%
-Chombo iko hoi bin taabani
Tuendelee kuombeana mambo ni mengi nimeshindwa kuandika vema[emoji17]
Kwani sio huwa ni jumatano ya kwanza ya mwezi ndio huwa wanatangaza bei?
Wangetushushia kidogo maaana hali ya uchumi na bei za mafuta hata haviendani.Nimefatilia uko sahihi kabisa
Bei hutangazwa j4 na kuanza kutumika rasmi j5
Ya kwanza kila mwezi bila kujali tarehe[emoji122]
70 series ikifungwa F33A itakuwa inapaa maana nyepesi mno🤣Wakuu 70 series hazitakuwa tena na engine ya 1hz badala yake zitakuwa na 1gd ftv 2.8L ule mzuka wa HZ ndo basi tena!zile engine za L300 wangeziweka kwenye 70series ikiwezekana hata kwenye coaster maana NO 4C washaachana nazo pia.
Hizo ajali kawaida sana kwa maeneo ya NjombeWazee salamu,
Mwenzenu nimepata ajali juzi kati huku kijijini nilipokuja likizo. Ajali ilikuwa ya ajabu kidogo kwani,
-speed ilikuwa 40!
-gari RAV4
-volume ya mziki 10, wimbo wa Chiqitita-ABBA
-barabara rough road lakini nzuri haina kona wala tuta
-mda saa5 asubuhi
-nilikuwa na masaa 2 tangia nipate bia moja kwa hiyo nilikuwa sober kabisa
MADHARA
-Mimi nilitoka salama 100%
-Chombo iko hoi bin taabani
Tuendelee kuombeana mambo ni mengi nimeshindwa kuandika vema[emoji17]
Huku songea leo petrol station nyingi wamebinya mzigo wanadai wese hawana ila ni janja janja wanasubir bei mpya nadhan wamenusa wese linapanda[emoji28][emoji1787]Wazee wa road trip
Vp mafuta yanapanda bei au yanashuka??
Nsije nkaweka full tank afu kesho yakashuka 2700
Wao wala hawajali mzee!Wangetushushia kidogo maaana hali ya uchumi na bei za mafuta hata haviendani.
mkuu kuna gari kama bmw m3 na m5 hazipo kwenye tra calculator vip zimezuiwa bongo nn? au ndio hivyo hazinunuliwi na wabongoUko sahihi ila msema kweli ni RPM.
Ukitaka savings za wese hakikisha kwa speed yako unayotembea gari iwe kwenye rotation kati ya 1500-2500! Balance humo humo na mara nyingi gari zetu hizi za mjapani RPM hizo unazipata kati ya speed 80-120
Ila kama unakanyagia rotation ya 3000 au zaidi kwa mda mrefu tu jua kipigo kikali kitakuhusu na kukuacha na simanzi mda si mrefu utalazimika kwenda sheli.
Hizo TRA watakuwa hawazijui washamba sana wale.mkuu kuna gari kama bmw m3 na m5 hazipo kwenye tra calculator vip zimezuiwa bongo nn? au ndio hivyo hazinunuliwi na wabongo
Aaah hatari sana kakaHizo TRA watakuwa hawazijui washamba sana wale.
Eeh bwana kaka hii ni hatari sana dah.Kama kuna wenye ndugu zao waliosafiri na bus la KIDINILO leo wapige simu waulizie huko au hao waliokuwa kwenye gari ndogo kama ni ndugu zao[emoji33][emoji33][emoji33]View attachment 2737303
Kinachofanyika baada ya gari kufika unawapelekea details za gari TRA wenyewe watawapa maIT wao wataingiza kwenye system then ndio unakuwa mwanzo wa hiyo ndinga kutambulika kwenye mifumo yao ikiwemo Calculator.Hizo TRA watakuwa hawazijui washamba sana wale.
Mkuu hii ajali ina siku kama tatu hivi.Kama kuna wenye ndugu zao waliosafiri na bus la KIDINILO leo wapige simu waulizie huko au hao waliokuwa kwenye gari ndogo kama ni ndugu zao[emoji33][emoji33][emoji33]View attachment 2737303
Daaah sio poaKama kuna wenye ndugu zao waliosafiri na bus la KIDINILO leo wapige simu waulizie huko au hao waliokuwa kwenye gari ndogo kama ni ndugu zao[emoji33][emoji33][emoji33]View attachment 2737303