Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa road trip

Vp mafuta yanapanda bei au yanashuka??

Nsije nkaweka full tank afu kesho yakashuka 2700
Si hadi juma tano next week? Kwa huu uhaba wa mafuta naona yatapanda tu, naona wafanyabiashara wameshapata taarifa kuwa bei itapanda ndio maana wanabana kuuza sasaivi ili waje kupiga super profit.

Naona Itaongezeka 200
 
Hapana taarifa huwa inatoka most tar 1 au tar 2

Kwhiyo probably kesho tutaanza bei mpya
 
Wazee salamu,

Mwenzenu nimepata ajali juzi kati huku kijijini nilipokuja likizo. Ajali ilikuwa ya ajabu kidogo kwani,
-speed ilikuwa 40!
-gari RAV4
-volume ya mziki 10, wimbo wa Chiqitita-ABBA
-barabara rough road lakini nzuri haina kona wala tuta
-mda saa5 asubuhi
-nilikuwa na masaa 2 tangia nipate bia moja kwa hiyo nilikuwa sober kabisa

MADHARA
-Mimi nilitoka salama 100%
-Chombo iko hoi bin taabani

Tuendelee kuombeana mambo ni mengi nimeshindwa kuandika vema[emoji17]

Pole mkuu muhimu uzima
 
Hizo ajali kawaida sana kwa maeneo ya Njombe
 
Uko sahihi ila msema kweli ni RPM.
Ukitaka savings za wese hakikisha kwa speed yako unayotembea gari iwe kwenye rotation kati ya 1500-2500! Balance humo humo na mara nyingi gari zetu hizi za mjapani RPM hizo unazipata kati ya speed 80-120

Ila kama unakanyagia rotation ya 3000 au zaidi kwa mda mrefu tu jua kipigo kikali kitakuhusu na kukuacha na simanzi mda si mrefu utalazimika kwenda sheli.
mkuu kuna gari kama bmw m3 na m5 hazipo kwenye tra calculator vip zimezuiwa bongo nn? au ndio hivyo hazinunuliwi na wabongo
 
Kama kuna wenye ndugu zao waliosafiri na bus la KIDINILO leo wapige simu waulizie huko au hao waliokuwa kwenye gari ndogo kama ni ndugu zao[emoji33][emoji33][emoji33]
 
Back
Top Bottom