Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mkuu kwanza Pole, Consumption kama hiyo kwa gari ya Cc1490 siyo kawaida hata kidogo. Kama gari iko mjini Dar es alaam nicheck ninaweza kuwa na solution ya tatizo lako. 0688 758 625 au 0621 221 606.

Lakini Mkuu gari ikiwa na nguvu sana na inakimbia lazima ibugie mafuta, naona unapata experience ya Crown Majesta kwenye Allion[emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa mkuu nakucheki.

Hapo kwenye crown[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ilikuwa Jana Route ilianza Saa 2 asubuhi Dar na kufika Singida Saa 1 jioni, na vituo vilikuwa vitatu
1.Morogoro
2.Gairo
3.Issuna

Aina ya Gari Premio(X) 2007(Second Generation)
Nikili kwa kusema hii gari ina stability nzuri hata ukiwa 140 na imejitahidi pia kwenye Ground clearance nilitaka niipandishe ila kila sehemu inapita nimeona niache hivyo hivyo.

Mwendo ulikuwa ni wa serikali tu 80 hadi 120 mala chache sana 140 na kwenye 50 naenda 50 sijala cheti wala kusimamishwa na Traffic hata sehemu moja.

Mafuta Full tank hadi Singida imebaki Robo tank.

Dereva bado sio Pro sana na Gari ndo kwanza imepata usajiri j3.

Location kwenye Video: IKUNGI-SINGIDA
 
View attachment 2756307
Company kwenye safari ndio unyama. Congratulations. Premio gari zuri.
 
Nimeanza route from dsm,lindi,mtwara,songea,njombe,iringa now nimegeuza niko njombe nishatafuna km kilometers 5200 mpk ss maana mikoa yote navuruga wilaya kadhaa natumia gari aina ya iveco huna nabinya 90-100klms per hour inanipa cossuption nzuri kwa hizi heavy duty truck.i.e napata cossuption ya 3 klms per litre.naomba kuwakilisha![emoji120]
 
Khs vibao vya 50 haviniusu maana natumia zile plate no tukufu za jamuhuri huru[emoji847]
 
Back
Top Bottom