Sawa mkuu nakucheki.Mkuu kwanza Pole, Consumption kama hiyo kwa gari ya Cc1490 siyo kawaida hata kidogo. Kama gari iko mjini Dar es alaam nicheck ninaweza kuwa na solution ya tatizo lako. 0688 758 625 au 0621 221 606.
Lakini Mkuu gari ikiwa na nguvu sana na inakimbia lazima ibugie mafuta, naona unapata experience ya Crown Majesta kwenye Allion[emoji3][emoji3][emoji3]
Hii ni balaa!Mie Brevis 1JZ-FSE inanipa km 3.2 kwa lita 1. Ila chanzo nilichokonoa nozzles. Sasa hapa nataka niweke engine nyingine tu.
Scania hata 450 haina ratio hiyo.Hata scania sidhani kama linakunywa hivyo.
Ni balaa sio dogo mkuu. Nadhani ni zaidi ya V12.Hii ni balaa!
TreniHata scania sidhani kama linakunywa hivyo.
Company kwenye safari ndio unyama. Congratulations. Premio gari zuri.Ilikuwa Jana Route ilianza Saa 2 asubuhi Dar na kufika Singida Saa 1 jioni, na vituo vilikuwa vitatuView attachment 2756307
1.Morogoro
2.Gairo
3.Issuna
Aina ya Gari Premio(X) 2007(Second Generation)
Nikili kwa kusema hii gari ina stability nzuri hata ukiwa 140 na imejitahidi pia kwenye Ground clearance nilitaka niipandishe ila kila sehemu inapita nimeona niache hivyo hivyo.
Mwendo ulikuwa ni wa serikali tu 80 hadi 120 mala chache sana 140 na kwenye 50 naenda 50 sijala cheti wala kusimamishwa na Traffic hata sehemu moja.
Mafuta Full tank hadi Singida imebaki Robo tank.
Dereva bado sio Pro sana na Gari ndo kwanza imepata usajiri j3.
Location kwenye Video: IKUNGI-SINGIDA
Nilikuwa na Mshikaji yeye kuna sehemu alishuka ila story zilisaidia na mziki kwa mbaali kupunguza uchovu.Company kwenye safari ndio unyama. Congratulations. Premio gari zuri.
Ndiohii Yd25 nadhani inakuja na nozzle ya umeme kama 1kd ama 2kd.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila gari ina kiwango chake cha full tank litre ngapi. Ukijua gari yako full tank ni litre ngapi basi zidisha kwa gharama za mafuta kwa lita ni kiasi gani. Hapo utajua full tank ni wese la bei gani kulingana na gari yako.Full tank ni wese la bei gan
Full tank ni wese la bei gan
Naomba taarifa ya barara ya Iringa Mbeya,kuna sehemu ina shida,mashimo? safari kesho
Ukiwa unatoka mbeya unaenda dar safari ina anzia igawa [emoji28]Iringa mpaka Igawa utafurahia driving, barabara ni pana unaweza fanya any manouver,lakini igawa mpaka barabara haina viwango.
Khs vibao vya 50 haviniusu maana natumia zile plate no tukufu za jamuhuri huru[emoji847]Nimeanza route from dsm,lindi,mtwara,songea,njombe,iringa now nimegeuza niko njombe nishatafuna km kilometers 5200 mpk ss maana mikoa yote navuruga wilaya kadhaa natumia gari aina ya iveco huna nabinya 90-100klms per hour inanipa cossuption nzuri kwa hizi heavy duty truck.i.e napata cossuption ya 3 klms per litre.naomba kuwakilisha![emoji120]
Ukiwa unatoka dar unaenda mbeya safari inaanzia moro.Ukiwa unatoka mbeya unaenda dar safari ina anzia igawa [emoji28]