Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa location??
20231004_113051.jpg
 
Habari wataalam.
Kwa tulioko dar naombeni mniambie natokea pugu nipitie njia gani kesho ili nifike ofisi ya uhamiaji kurasini?
Njia za kurasini zinapitika? Au nipite chocho gani nisikwame njiani?
Si mnajua hizi mvua zinaleta changamoto
Mind you nina passo namba [emoji16]
 
Back
Top Bottom