Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

kabla ya kutoka omba dua...

njiani usishindane na mtu... run at a controllable speed of about 80 hadi 100 panaporuhusu...

usiovertake hovyo hasa kitonga, jipe vituo kadhaa vya kusimama kushuka kunyoosha mgongo.. usishindilie vyakula vizito vinatia uchovu na usingizi...

beba kichupa chako cha kahawa kikutoe uchovu..
yawahi mabasi kabla hayafika kitonga na vurugu zao

Kitonga overtake ni lazima, kuna malori ya mizigo yana chukua 30-45 minutes kumaliza mlima.
Cha muhimu kuwa makini unavyo overtake kuna newforce na majinja wanashuka kama wehu.
 
Seventeen hours on the road

Mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya, tarafa kwa tarafa, kata kwa kata, Kijiji Kwa Kijiji, mtaa Kwa mtaa, nyumba kwa nyuma, sakafu kwa sakafu.. View attachment 2816278

I miss this life enzi za ujana wangu....

Safari za field na mkonge vijijini huko halafu unampa dereva uhuru sio ile bosi bosi dereva uko wapi, ila heshima mbele anakuonesha maeneo ambayo usingeyafahamu.

Nimeumisi ule mlio wa Mkonge ikiwa inabadili gia....😌.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_2257.jpg

Lexus 500lx ya 2022
 
I miss this life enzi za ujana wangu....

Safari za field na mkonge vijijini huko halafu unampa dereva uhuru sio ile bosi bosi dereva uko wapi, ila heshima mbele anakuonesha maeneo ambayo usingeyafahamu.

Nimeumisi ule mlio wa Mkonge ikiwa inabadili gia....[emoji18].
Ni unyama sana chief, niko kwenye hili game since 2009 nakula pori ndugu
 
Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo jema,uwe peke yako au na familia yako
Jiandae ki saikolojia

1.Hakikisha gari iko vizuri
2.Safiri mchana tu
3.Waza kufika salama na si saa ngapi
4.Epuka mafuta ya vichochoroni
5.Kama kwenu mbali yaani km 700 na zaidi basi safari yako unaweza kuikata vipande viwili
6.Ukiwa na wasi wasi na uwezo wako tafuta mtu ukifika mpe posho kidogo na nauli arudi
7.Kuwa makini sana unapoanza safari na unapokaribia kufika
8.Usipende kusimama porini usipopajua bila sababu au kuchimba dawa
9.Usiku ukipishana na gari punguza mwendo huku ukiibia kushoto kwako kidogo
10.Epuka kushindana na gari/mtu ambaye hata hujui anatoka na anakwenda wapi hata kama gari lake ni sawa na la kwako
11.Kama vipi andaa chakula toka kwako anayeendesha atumie vyakula vyepesi bites zaidi nyama kavu za kutafuna
12.Akili yako muda wote iwe barabarani na sio unakokwenda au unakotoka
13.Jitahidi njiani si kila mtu ajue unaenda wapi
14.Hakikisha upepo uko sahihi wakati wote
15.Hizi mvua kuwa makini ukiona inazidi tafuta mahali salama paki subiri ipungue kisha uendelee
16.Hakikisha hakuna gari lolote nyuma linakufuata kwa muda mrefu bila sababu,chukua namba kisha mpishe aende

. ASANTE KWA KUSOMA UJUMBE NA KUUELEWA.

Tumekuelewa sana mzee Mshana
 
Asante sana bro kwa hizi tips, mimi ligi zangu ni za mda mfupi, mtu akitaka ligi lazima nimpe. Akishindwa ama nikishindwa kwa muda mchache namuacha aende kwa amani, kuna raha ya kumpelekea mtu moto, huwa nikiwa na mtoto wangu 12yrs babarabani, namuuliza nimpelekee moto huyu ananiambia huyo humuwezi, au mpelekee aisitupite, he always keep track ya ambao wananipiga na kitu kizito, na imemfanya amekuwa cars enthusiast vibaya mno
 
Umeshukuru nini na umeandika nini? Anyway majanga ni yako.
 
Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo jema,uwe peke yako au na familia yako
Jiandae ki saikolojia

1.Hakikisha gari iko vizuri
2.Safiri mchana tu
3.Waza kufika salama na si saa ngapi
4.Epuka mafuta ya vichochoroni
5.Kama kwenu mbali yaani km 700 na zaidi basi safari yako unaweza kuikata vipande viwili
6.Ukiwa na wasi wasi na uwezo wako tafuta mtu ukifika mpe posho kidogo na nauli arudi
7.Kuwa makini sana unapoanza safari na unapokaribia kufika
8.Usipende kusimama porini usipopajua bila sababu au kuchimba dawa
9.Usiku ukipishana na gari punguza mwendo huku ukiibia kushoto kwako kidogo
10.Epuka kushindana na gari/mtu ambaye hata hujui anatoka na anakwenda wapi hata kama gari lake ni sawa na la kwako
11.Kama vipi andaa chakula toka kwako anayeendesha atumie vyakula vyepesi bites zaidi nyama kavu za kutafuna
12.Akili yako muda wote iwe barabarani na sio unakokwenda au unakotoka
13.Jitahidi njiani si kila mtu ajue unaenda wapi
14.Hakikisha upepo uko sahihi wakati wote
15.Hizi mvua kuwa makini ukiona inazidi tafuta mahali salama paki subiri ipungue kisha uendelee
16.Hakikisha hakuna gari lolote nyuma linakufuata kwa muda mrefu bila sababu,chukua namba kisha mpishe aende

. ASANTE KWA KUSOMA UJUMBE NA KUUELEWA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Very good advice!
 
Back
Top Bottom