Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mwisho wa mwaka 2023 sikuweza kusafiri nilikuwa busy na ujio wa Jr.
Hopeful 2024 tutapiga trip na Jr.
In fact road trip ya mwisho wa mwaka 2022 ndio Jr alitengenezwa
😎😎
"God has compensated the losted blessing."

Akue katika kimo na maarifa, akimpendeza Mungu na wanadamu.

You're favoured by God.

This comment marks the beginning of my comments for the year 2024.
 
Mwisho wa mwaka 2023 sikuweza kusafiri nilikuwa busy na ujio wa Jr.
Hopeful 2024 tutapiga trip na Jr.
In fact road trip ya mwisho wa mwaka 2022 ndio Jr alitengenezwa
😎😎

Wuuuhuuuuuuuu wacha nikapike matoke tena, kumbe Bataringaya is in the house.....😋😋😋😋.

Mwambie shangazi anakuja kutoka chijijini na matoke na mabungo yanasaidia kuongeza nguvu mwilini na kukua vyema 😊.

Wifi ntamletea Sanvita ya Blackcurrant apoze uchovu wa kutuletea Bataringaya.

Kuanzia sasa jina la Baba Bataringaya ni official 😊😊😊....
🥂🥂🥂.
 
Aunt kama Aunt......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…