Dooh mwanampotevu Hatimaye umerudi, happy new year to you and yours, tunashukuru mungu kama mu wazima wa afya [emoji120][emoji120]Happy new year wana ROAD TRIP...May God bless you all and have prosperous 2024!
Woow hongereni sana mkuu, mungu awalindie Jr, to more years of memorable road trips [emoji4][emoji4]Mwisho wa mwaka 2023 sikuweza kusafiri nilikuwa busy na ujio wa Jr.
Hopeful 2024 tutapiga trip na Jr.
In fact road trip ya mwisho wa mwaka 2022 ndio Jr alitengenezwa
😎😎
Nikajua gari yangu aiseMkuu mm juzi nimetoka Mwanza Saa 12.30 asubuhi, nimefika dodoma saa 7.30 kamili mchna. nimekaa dodoma for 3hrs nimeondok saa 11 kasoro nikafika iringa saa 2 kasoro nikazuga zuga kama 15 minuts hivi kujaza mafuta na kupata soft drink niliondoka iringa saa 2 na madakika by saa 6 kasoro usiku nili ingia home..View attachment 2849229
Sijatembelea huku muda! Nawe pia ulipotea sana nimefurahi kuona mchango wako tena.Nini kinakuzuia?
Nitaweza? 😂😂 ni bus?Kapicha basiiii...