Hio itakuwa ni Allion 15... Ingekuwa ile A18 mziki ungekuwa mnene.Wanatoana jasho wote wale wale. Kuna siku niliona jamaa wa Allion anakomeshwa na IST mbele yake kila akitaka kupita IST inakaza alihangaika sana. Unakuta wote wana engine sawa au tofauti ndogo sana.
Hii vanguard nimeingia cha kike. Inalala njianiNini kinakuzuia?
mikato ya maokoto inanichanganyaSuzuki kei imepiga km 1360 return...kumbe hata hivi mnavyoviita baby walker viko poa!!!km 1360 mafuta 2,24,000/-
Tena kifua chenye turbo mbili za maana. Ikiamsha hiyo chuma mpaka ardhi inatetemeka kama simba dume.Brabus 800 View attachment 2898674
Ndani kuna kifua cha v8
Tena kifua chenye turbo mbili za maana. Ikiamsha hiyo chuma mpaka ardhi inatetemeka kama simba dume.
Na inanwaga moto vibaya mno, naomba pigia mstari neno vibaya mno na ujipige tano kifuani kuonesha heshima. Ukiizimua inachutama kama chura kudadadeki. Hii chuma kupiga overtake gari 10 zilizojipanga ni chap kwa haraka. (don't try this)
Hapo ukitoka nayo mpaka Dodoma hakuna gari inafuata kuanzia lc300 zote hata iwe ya petroli au hata crown majesta labda uwe na porsche and the like ndio utaweza kwenda nae sawa.
Hizi ndio zile gari wazungu wanasema," Tell me you're rich without telling me that you're rich". Kwa tafsiri isiyo rasmi kwamba,"Niambie wewe ni tajiri bila kuniambia kwamba wewe ni tajiri".
Iheshimiwe Brabus G800. Bima tu ya gari ni almost milioni 43-50, kwa hesabu za madafu mpaka kutua bongo ni kama milioni 900+ au bilioni 1 na ushee hivi.
Napenda sound yake alooo hio chuma kama mwanaume ulie kamilika lazima usimame uiskilize kwanza inavyopumua nilitamani...
Foleni pale gold star ipoteee aikanyage niskie sound yake yenye v8 with b turbo kuna vyuma hadi tunazikwa tutaishia kuvitazama tu[emoji51][emoji16]
Halafu simu yako inatoa picha kali sana. Ni simu aina gani kama hutojali kusema?! Thanks inadvance.Brabus 800 View attachment 2898674
Ndani kuna kifua cha v8
Halafu simu yako inatoa picha kali sana. Ni simu aina gani kama hutojali kusema?! Thanks inadvance.
Hiyo ikipita lazima uache kila unachofanya uitazame kwanza mpaka ipite. Acha itupe chachu ya kuzisaka.
Dah, kama ndio mimi ingebidi nipark kidogo nitekeleze hiyo ibada adhwim hapo [emoji41]
Hizo G zipo hadi za V12 sasa hiyo V8 tu komesha.Tena kifua chenye turbo mbili za maana. Ikiamsha hiyo chuma mpaka ardhi inatetemeka kama simba dume.
Na inanwaga moto vibaya mno, naomba pigia mstari neno vibaya mno na ujipige tano kifuani kuonesha heshima. Ukiizimua inachutama kama chura kudadadeki. Hii chuma kupiga overtake gari 10 zilizojipanga ni chap kwa haraka. (don't try this)
Hapo ukitoka nayo mpaka Dodoma hakuna gari inafuata kuanzia lc300 zote hata iwe ya petroli au hata crown majesta labda uwe na porsche and the like ndio utaweza kwenda nae sawa.
Hizi ndio zile gari wazungu wanasema," Tell me you're rich without telling me that you're rich". Kwa tafsiri isiyo rasmi kwamba,"Niambie wewe ni tajiri bila kuniambia kwamba wewe ni tajiri".
Iheshimiwe Brabus G800. Bima tu ya gari ni almost milioni 43-50, kwa hesabu za madafu mpaka kutua bongo ni kama milioni 900+ au bilioni 1 na ushee hivi.
Acha kabisa 🔥🔥🔥🔥Hizo G zipo hadi za V12 sasa hiyo V8 tu komesha.
Wakuu njia ya kaskazini ikoje? Sijapita zaidi ya mwaka. Dar-Bagamoyo-Msata-Segera-Korogwe-Mombo-Same-Himo ?