Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ukifanya kazi za field kuna uzuri wake pia, unakutana na utamu wa asili, Dunia ni nzuri sana pale tunapo safiri na kuona mengi, sisi binadamu ndo tuna shida
Screenshot_2024-02-10-22-08-52-73.jpg
 
Watu kumi na tano wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori na magari mengine madogo matatu katika eneo la by Pass Ngaramtoni wilaya Arumeru Mkoa wa Arusha.

Akitoa taarifa hiyo katika eneo la ajali Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kamshna msaidizi mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo amesema ajali hiyo imetokea februari 24,2024 muda wa saa 11 jioni ambapo iliyohusisha lori na magari madogo matatu katika eneo la Ngaramtoni Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha.

Kamanda Masejo amesema wanaendelea na uchunguzi wakina ajali hiyo ili kubaini chanzo haiisi cha ajali hiyo.

Aidha amewaomba wananchi kufika katika hosptali ya rufaa ya mount Meru kutambua miili ya waliofariki katika ajali hiyo.
FB_IMG_1708814205937.jpg
FB_IMG_1708814202574.jpg
 
Watu kumi na tano wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori na magari mengine madogo matatu katika eneo la by Pass Ngaramtoni wilaya Arumeru Mkoa wa Arusha.

Akitoa taarifa hiyo katika eneo la ajali Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kamshna msaidizi mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo amesema ajali hiyo imetokea februari 24,2024 muda wa saa 11 jioni ambapo iliyohusisha lori na magari madogo matatu katika eneo la Ngaramtoni Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha.

Kamanda Masejo amesema wanaendelea na uchunguzi wakina ajali hiyo ili kubaini chanzo haiisi cha ajali hiyo.

Aidha amewaomba wananchi kufika katika hosptali ya rufaa ya mount Meru kutambua miili ya waliofariki katika ajali hiyo.View attachment 2915421View attachment 2915422
Mshana, hiyo school bus ilikua na watoto??? [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom