RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #21,741
All the best. SGR can only be beaten by ATCL. Weekend yangu ilikuwa amazing. Trip ya kwenda ilichukua 4hrs badala ya 3.5hrs kwasababu ya kusubiri treni zipishane. Ya kurudi right on time 3hrs 35minutes. Kwa 62,000/- kwenda na kurudi bila hussle. Just sit back and enjoy the comfy ride.Leo nimepiga Dar - Moro 2hrs, Dar - Dodoma less than 5h.
Ukijumlisha muda wa kutoka nyumbani kuelekea SGR, na lazima uwahi muda wa departure.... Advantage ya SGR inakua ndogo.
Also nimetumia less than 50l, ambayo ukigawanya per seat ni 10l per person Dar to Dom, Around 32k per person.
Mkoa wa Singida una matraffic wengi sana mpaka nimewauliza imekuwaje sikuhizi? Wakaniambia mkoa mzima upo barabarani.