Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ndio nifanyavyo mimi. Natii sheria zote. Nafuatq mistari na 50kph naziheshimu.
Sasa Singida huko huwa hawamind mistari, labda kwa nadra 50, nilipigwa tochi Igunga last time nkawatia 5k.

Nachojiuliza ni kwamba amesumbuliwa Singida huku akifuata sheria zote? Au amesimamishwa labda kwa ajili ya ukaguzi wa madeni tu?

Inawezekana tunatofautiana definition ya usumbufu. Mimi kunisimamisha kwa kuvuka 50 kwenye open area au kulipita lori linalopanda mlima kwa 10kmph ndio usumbufu, jambo ambalo limetawala Moro Dar.

Kunisimamisha kwa ukaguzi wa madeni, bima, uhamiaji n.k sioni kama ni usumbufu

I wonder huko Singida pamekuwa na usumbufu wa aina gani kuzidi Pwani & Moro
 
Kwa Mtanzania wa kawaida kusimamishwa kuulizwa leseni kukaguliwa deni kwake ni usumbufu.
Akipita na 90kph zone ya 50kph akisimamishwa huo ni usumbufu. Tunataka tuendeshe gari kutoka nyumbani hadi tuendako bila kusimama popote hata kwenye taa.
 
Uuweeeh.....!! Basi nimekubali kuwa msoma ramani kwenye safari zako 😋😋🤪🤪🤪.

Uniruhusu tuu kula mabungo kwenye gari sina garama. Na mabungo nakuja nayo mwenyewe...😋😋😋.

Halafu unirudishe nyumbani kabla ya saa 12 jioni...😜😜😜.

Halafu kwenye kidroo cha gari uwekamo chokoleti mweeh mweeeh.....!!!!🤩🤩🤩.
Aisee :NyanLove::NyanLove::NyanLove:
nilipotezwa, na mwanangu mwanasiti vijino kama chikichi, 😂
Siku nimejivala kivyee na pantaloni ya Bon Voyage, nitakobenga yo fasi ya abiria 🤪🤪.
Mabungo haiko mikakatano 🤣
Tutajipata tu na chocolat byeeen 😎
 
Baba Bataringaya RRONDO....

Nimetubu 🙌🙌, niko nyumbani nimetulia sitoki siendi kokote. Ukikuja utakuta nimepika matoke na Nsenene...😊 na Rubisi kwa pembeni 😉.

Nilivyo muoga sasa....🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️.
 
Barabara za wenzetu zinaruhusu michezo
 
Attachments

  • 08159352-3912-41c4-8be1-cb8cf5575ae4.mov
    4.5 MB
Back
Top Bottom