ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Sasa Singida huko huwa hawamind mistari, labda kwa nadra 50, nilipigwa tochi Igunga last time nkawatia 5k.Ndio nifanyavyo mimi. Natii sheria zote. Nafuatq mistari na 50kph naziheshimu.
Nachojiuliza ni kwamba amesumbuliwa Singida huku akifuata sheria zote? Au amesimamishwa labda kwa ajili ya ukaguzi wa madeni tu?
Inawezekana tunatofautiana definition ya usumbufu. Mimi kunisimamisha kwa kuvuka 50 kwenye open area au kulipita lori linalopanda mlima kwa 10kmph ndio usumbufu, jambo ambalo limetawala Moro Dar.
Kunisimamisha kwa ukaguzi wa madeni, bima, uhamiaji n.k sioni kama ni usumbufu
I wonder huko Singida pamekuwa na usumbufu wa aina gani kuzidi Pwani & Moro
