Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

All the best. SGR can only be beaten by ATCL. Weekend yangu ilikuwa amazing. Trip ya kwenda ilichukua 4hrs badala ya 3.5hrs kwasababu ya kusubiri treni zipishane. Ya kurudi right on time 3hrs 35minutes. Kwa 62,000/- kwenda na kurudi bila hussle. Just sit back and enjoy the comfy ride.
 
62k ni round trip first class express?
 
I'll try the experience hii hype ikiisha tuone kama ntakuwa convinced kupaki gari.

Jana kuna watu nawafahamu wameenda stesheni wakapaki wakakwea SGR wakaenda Moro jioni wakarudi wakachukua gari kama wametoka kazini
Utalii wa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…