Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimepatwa na Goosebumps wakati naangalia Roadtrip ya huyu bibie akipita kitonga kwa kuangalia tu amenifanya kama sehemu ya abiria wake mziki mzuri unasikika na stori za hapa na pale best moment ever chuma ni Prado TxView attachment 3181921
Nimeangalia mpaka mwisho,naweza sema madereva wa.Mabus wako rafu sana maana huwa wanashusha hapo chin ya dk 15 au 10 ila bint katumia 24+
 
Moshi to Dar leo njia nzuri ajali ziko mbili karibia same lori limepinduka kushoto trela imezidi barabarani, karibia mkata fuso limepinduka kushoto halijazuia barabara, sorry nilishindwa kupiga picha nilikuwa mwendo
Ya Mkata niliiona pale... Ajali za kutosha mwisho wa mwaka
 
20241227_171340.jpg

Guess the location...
 
Leo ni Mbeya to Dar na huu mnyama, 3.0 twin turbo...
T6 ni engine nzuri sana. Hii ni ya mwaka gani? T6 twin-charged (turbo/ na super-charged) imeanza kwenye inline 4 engines. Inline 6 zote zilikuwa na turbocharger tu.

Sasa kama yako ina engine displacement ya 3.0L, haiwezi kuwa twin-charged. Kwa kuwa twin-charged zote zina engine displacement ya 2.0L
 
Basi ipo pia kwenye xc90
Yes mkuu...
Recent engine ya Volvo iliyotumia ‘V’ configuration ni ile ya B8444S tu. Hapa kuna ile XC90 V8 na S80.

Engines zingine zinatumia inline configurations (straight line engines). Na kimsingi XC60 haijawahi kutumia engines zenye ‘V’ configurations.

Pia kwa second generation Volvo, models zote zinatumia inline engines.
 
Mimi naielewa xc90 2.5 diesel ila naona ina DPF
DPF siyo ishu kama wewe ni mtu wa masafa.

Kama si wa masafa, una options kadhaa:

1. Kufanya DPF delete. Hii inafanywa na mtaalamu wa ECU programming. Lengo ni kuifanya ECU (‘car computer’) kutambua kwamba gari halina DPF. Hii inahusisha pia physical removal ya DPF. TAHADHARI: hii lazima ifanywe na mtaalamu haswa.

2. Kufanya DPF regenerations (siyo zaidi ya mara tatu nafakiri) kwa kutumia OBDII ECU diagnosis machine. Hii ni kwa mashine yenye function ya DPF. Hii itakuwa na mafanikio pia kama utakuwa unatumia engine oil yenye kutoa kiwango kidogo cha moshi. Nafikiri engine oils za daraja la C. Usitumie oil zenye SAPS (sulphated ash, phosphorus and sulphur) nyingi, ambazo haswa ni za daraja A na B.

3. Kutumia tu na kununua DPF mpya pale iliyo kwenye gari inapojaa uchafu. Hii ni option ya gharama, ila inaweza kuwa ya muda mrefu na bora zaidi kama pesa si tatizo.
 
T6 ni engine nzuri sana. Hii ni ya mwaka gani? T6 twin-charged (turbo/ na super-charged) imeanza kwenye inline 4 engines. Inline 6 zote zilikuwa na turbocharger tu.

Sasa kama yako ina engine displacement ya 3.0L, haiwezi kuwa twin-charged. Kwa kuwa twin-charged zote zina engine displacement ya 2.0L
Upo sahihi mkuu.
The Volvo T6 engine is a 3.0-liter, inline 6-cylinder engine with a twin-scroll turbocharger and a split exhaust manifold.
 
Back
Top Bottom