Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

February mwishoni nitapandisha tena Kili
Hii ipo huku inapumua hewa baridi ya Mlimani. Asubuhi unaishuhudia kabisa ECU inavyojiadjust kupambana na baridi iliyopo
20241227_212343.jpg
 
Bongo hakuna Barabara za kuvimbia… Tunaendesha roho mkononi…

Machizi kibao barabarani, achilia mbali vichaa, wazee wa double kiki na vindoki vya msumbiji/malawi.

Mi yutong inayoendeshwa na vijana wasio acha mke wala watoto nyumbani…..”dereva asie na majukumu.”

Milori ilio skip service, yan mlori mpaka uue ndo uende service, madereva wanao sinzia hovyo barabarani… nadhani trip ya dar lusaka/ dar drc mnaifahamu vizuri…

Madereva wengine unakuta macho yashazoea kuaangalia nyuchi za malaya leo ndo utegemee kuziona road sign?

Dereva unakuta anamzigo wa majukumu ya kifamilia kuliko mzigo wa seruji alio ubeba…

Barabara yenyewe one way dar to kigoma, dar to manyara, dar to mtwara… mixer ubovu wa barabara.

Achilia mbali wale wazee wa naomba kadi ya gari, naomba lesi… ukiwa na elf 5 pembeni hata gari lisipo kuwa na steering wheel sio shida zao.

Inshort Tanzania hakuna road trip, ni death trip… so km huna ulazima wa kusafiri na private, hiyo pesa y fuel panda mwewe…✈️

Gari libaki tuu kwa misele y ndani y wilaya/mkoa. Mjane wako tutamuhifadhi, watoto je?

Tafakari chukua hatua. Haki Elimu
 
Mbeya to arusha na rav4 kilitime, niliweka mafuta jumla ya 240k, lita 83. Nimefika arusha gauge ipo almost (near to) ½. Kwa magari yetu haya ya kizamani naona ni decent consumption. Engine 1zz
 

Attachments

  • 20250130_102703.jpg
    20250130_102703.jpg
    420.9 KB · Views: 6
  • 20250130_003309.jpg
    20250130_003309.jpg
    159.2 KB · Views: 4
  • 20250129_145508.jpg
    20250129_145508.jpg
    1.3 MB · Views: 3
Back
Top Bottom