Taadhari ni nzuri na ni vyema kujisoma.. japo safari za mchana ni nzuri sana.. usiku kuna mambo mengiTatizo nakimbia sana, usiku siwezi kuona umbali mrefu. Naogopa vicheche nisije kukutana nacho kwenye Kona au Mlima nikiwa 170! Nishapiga trip za usiku ila inachosha. Unapishana na gari then huoni kwa sekunde kadhaa ni hatari.
Sijaona hiyo sehemu, kutokea dumila hadi gairo naona pamekaa vizuri.. kidogo gairo kibaigwa na kwa sehemu viraka vimeondoka mashimo.. kulikuwa na mshimo sana kutokea dumila kwenda gailo usiku unatembea kwa machale kama gari kimeo.. unaweza kuta unatenga gari chini.. ila siku za hivi karibuni sijakutana na hiyo shidaKuna sehemu Moro Dom nasikia barabara haijatulia
Raha ya mchana unaona kilometa kadhaa mbeleSijaona hiyo sehemu, kutokea dumila hadi gairo naona pamekaa vizuri.. kidogo gairo kibaigwa na kwa sehemu viraka vimeondoka mashimo.. kulikuwa na mshimo sana kutokea dumila kwenda gailo usiku unatembea kwa machale kama gari kimeo.. unaweza kuta unatenga gari chini.. ila siku za hivi karibuni sijakutana na hiyo shida
Sure, na hautumii nguvu kubwa ya macho.. usiku unakuwa makini sana unatoa macho mda wote 😀😀😀😀.. kuhakikisha kama unaona vyema kilichopo mbele yakoRaha ya mchana unaona kilometa kadhaa mbele
Hio stress ndio siitaki usiku. Ingawa kwenye 50 unapita na mwendo uutakao ila dah kupambana na mafuso usiku balaaSure, na hautumii nguvu kubwa ya macho.. usiku unakuwa makini sana unatoa macho mda wote 😀😀😀😀.. kuhakikisha kama unaona vyema kilichopo mbele yako
😃😃😃😃 kama kunakuwa hakuna jambo la kufanya utembee usiku.. mchana ni safari nzuri tu, usiku huwa natembea kwa ajiri ya kazi.. unakuta kama nipo dar es salaam nafanya kazi zangu zote siku nzima, ikifika saa kumi au kumi na moja naamsha .. nafika mwanza kesho yake mapema sana, napumzika.. jioni naingia nafanya mishe zingine.. nakuwa sijapoteza siku..Hio stress ndio siitaki usiku. Ingawa kwenye 50 unapita na mwendo uutakao ila dah kupambana na mafuso usiku balaa
My next trip kuna dalili zote nikaondoka Dar saa kumi jioni kwa maana hii nitatembea usiku bila kupenda.😃😃😃😃 kama kunakuwa hakuna jambo la kufanya utembee usiku.. mchana ni safari nzuri tu, usiku huwa natembea kwa ajiri ya kazi.. unakuta kama nipo dar es salaam nafanya kazi zangu zote siku nzima, ikifika saa kumi au kumi na moja naamsha .. nafika mwanza kesho yake mapema sana, napumzika.. jioni naingia nafanya mishe zingine.. nakuwa sijapoteza siku..
Uta enjoy kama hujatembea usiku mda mrefu. Uzuri wa safari hiyo unafika unapo enda mapema.. kama umelala nao.. kiasi kwamba unaweza pumzika na ukfanya mambo yakoMy next trip kuna dalili zote nikaondoka Dar saa kumi jioni kwa maana hii nitatembea usiku bila kupenda.
Hiyo safi sana.. unakuta upotezi mda au sikuYeah kesho yake natakiwa kuamka kwenye kazi.
Upo sahihi kabisa Mkuu, yaani haya Mashirika ya Bima hayalipi kabisa km utakutikana na kilevi chochote hata chupa tupu ya kileviShukurani wakuu,
mimi na mtindo wa kukata premium mwaka wa kwanza kipindi gari ni jipya, maana kipindi hicho ndo kiherehere kinakua kikubwa na safari zisizo na ulazima zinakua nyingi.
Baada ya hapo ni kubet na 3rd party with fire and theft, pia kupunguza safari zisizo na ulazima wa kwenda na gari.
Hapo kwenye ulevi hebu angalia attachment
View attachment 1676363
Hadi katikati ya pori nene utakutana nayoHayo matuta yapo hadi porini au ni sehemu zenye makazi?
Njia ya kusini haina matuta kabisa mpaka sahv halaf ukisafiri kuanzia saa kumi na moja jion hukutani na trafik hata mmoja barabarani mpk unafika mtwara au kurudi darNakumbuka njia ya kusini ilikuwa haina magari sana miaka ya 2013 halafu ilikuwa nzuri sana
hii njia imeshachakaa kwa kiwango kikubwa sana... ukitoka Dar barabara nzuri inaanzia masasi, tunduru to songea...Njia ya kusini haina matuta kabisa mpaka sahv halaf ukisafiri kuanzia saa kumi na moja jion hukutani na trafik hata mmoja barabarani mpk unafika mtwara au kurudi dar
mafinga- makambako hii japo safari ilikuwa Dar to mbeya... mwendo wa masaaBongo hii hiiView attachment 1678852
Pia njia inapita hifadhi ya taifa ya KataviAisee! Au kuna hifadhi ya Taifa?
Hii gari gani?mafinga- makambako hii japo safari ilikuwa Dar to mbeya... mwendo wa masaaView attachment 1680799
Matuta kwa Tanzania kiuhalisia yanasaidia sana ingawa yanachangia uharibifu wa barabara.Ukweli ni kwamba Tanzania madereva sahihi ni wachache mno-wengi ni makanjanja tu-Kama watu wangekuwa wanajali vibao vya barabarani nadhan kusingekuwa na haja ya matuta.Watu wengi sana wasio na hatia wanagongwa kwenye zebra au wakati mwingine unakuta gari linatii sheria kwa kusimama kwenye zebra alafu linagongwa na gari lingine kwa nyuma.MATUTA kwa sasa ni muhimu sana hasa kwenye karibia na zebra mpaka udereva wa kitoto utakapo pungua.Mita 200 zinatosha kuwasogeza mbali na mjini.
Hakuna kitu nachukia kama matuta. Bora vibao vya 50kph ila sio matuta.