Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tatizo nakimbia sana, usiku siwezi kuona umbali mrefu. Naogopa vicheche nisije kukutana nacho kwenye Kona au Mlima nikiwa 170! Nishapiga trip za usiku ila inachosha. Unapishana na gari then huoni kwa sekunde kadhaa ni hatari.
Taadhari ni nzuri na ni vyema kujisoma.. japo safari za mchana ni nzuri sana.. usiku kuna mambo mengi
 
Kuna sehemu Moro Dom nasikia barabara haijatulia
Sijaona hiyo sehemu, kutokea dumila hadi gairo naona pamekaa vizuri.. kidogo gairo kibaigwa na kwa sehemu viraka vimeondoka mashimo.. kulikuwa na mshimo sana kutokea dumila kwenda gailo usiku unatembea kwa machale kama gari kimeo.. unaweza kuta unatenga gari chini.. ila siku za hivi karibuni sijakutana na hiyo shida
 
Raha ya mchana unaona kilometa kadhaa mbele
 
Hio stress ndio siitaki usiku. Ingawa kwenye 50 unapita na mwendo uutakao ila dah kupambana na mafuso usiku balaa
😃😃😃😃 kama kunakuwa hakuna jambo la kufanya utembee usiku.. mchana ni safari nzuri tu, usiku huwa natembea kwa ajiri ya kazi.. unakuta kama nipo dar es salaam nafanya kazi zangu zote siku nzima, ikifika saa kumi au kumi na moja naamsha .. nafika mwanza kesho yake mapema sana, napumzika.. jioni naingia nafanya mishe zingine.. nakuwa sijapoteza siku..
 
My next trip kuna dalili zote nikaondoka Dar saa kumi jioni kwa maana hii nitatembea usiku bila kupenda.
 
My next trip kuna dalili zote nikaondoka Dar saa kumi jioni kwa maana hii nitatembea usiku bila kupenda.
Uta enjoy kama hujatembea usiku mda mrefu. Uzuri wa safari hiyo unafika unapo enda mapema.. kama umelala nao.. kiasi kwamba unaweza pumzika na ukfanya mambo yako
 
Shukurani wakuu,
mimi na mtindo wa kukata premium mwaka wa kwanza kipindi gari ni jipya, maana kipindi hicho ndo kiherehere kinakua kikubwa na safari zisizo na ulazima zinakua nyingi.
Baada ya hapo ni kubet na 3rd party with fire and theft, pia kupunguza safari zisizo na ulazima wa kwenda na gari.

Hapo kwenye ulevi hebu angalia attachment

View attachment 1676363
Upo sahihi kabisa Mkuu, yaani haya Mashirika ya Bima hayalipi kabisa km utakutikana na kilevi chochote hata chupa tupu ya kilevi
wengi hawakumbuki kile kisa cha chamaa aliyekuwa akiwaua wake zake kwa kusukuma gari kwenye korongo/ bonde na kwenda kudai Bima,
bora 3rd party na ndio huwa naikata bora kuchunga barabara na madereva wenzako
nimeingia TIRA MIS nakitafuta kipengele hicho cha Comprehensive sijakipata, nakitafuta bado nitakiweka TIRA MIS
 
Mita 200 zinatosha kuwasogeza mbali na mjini.

Hakuna kitu nachukia kama matuta. Bora vibao vya 50kph ila sio matuta.
Matuta kwa Tanzania kiuhalisia yanasaidia sana ingawa yanachangia uharibifu wa barabara.Ukweli ni kwamba Tanzania madereva sahihi ni wachache mno-wengi ni makanjanja tu-Kama watu wangekuwa wanajali vibao vya barabarani nadhan kusingekuwa na haja ya matuta.Watu wengi sana wasio na hatia wanagongwa kwenye zebra au wakati mwingine unakuta gari linatii sheria kwa kusimama kwenye zebra alafu linagongwa na gari lingine kwa nyuma.MATUTA kwa sasa ni muhimu sana hasa kwenye karibia na zebra mpaka udereva wa kitoto utakapo pungua.
 
Back
Top Bottom