East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Taadhari ni nzuri na ni vyema kujisoma.. japo safari za mchana ni nzuri sana.. usiku kuna mambo mengiTatizo nakimbia sana, usiku siwezi kuona umbali mrefu. Naogopa vicheche nisije kukutana nacho kwenye Kona au Mlima nikiwa 170! Nishapiga trip za usiku ila inachosha. Unapishana na gari then huoni kwa sekunde kadhaa ni hatari.