Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hivyo vichwa vya njiani sio salama sana kuvibeba.. ni bora utembee mwenyewe tu binadamu siku hizi hatusomeki vizuri
Ni kweli ila nilihisi mi havinihusu,kuna mwana aliwahi kunisimulia alipakia abiria watatu kutoka Arusha kuja Dom, kufika maeneo ya Bicha akakuta barrier ikiwa na madhumuni ya kuwakamata wale abiria wake kwa kosa la unyang'anyi.Na kwakuwa hawa jamaa hawajui uchunguzi wala upelelezi zaidi ya kupiga marungu ilichukua muda jamaa kuondolewa kwenye shtaka huku viungo vingine vikiwa hoi
 
Hatari tupu. Bora utembee peke yako au na mtu wako unae mjua. Haya mambo ya kubeba misala isiyo kuhusu na usawa huu noma tupu
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuna siku natoka Mwanza kwenye majira ya jioni nikapata abiria akielekea Dom, sijui alinionaje akaomba nimwachie aendeshe, nikamwambia dada hata kwa nusu km siwezi,wewe subiri ufike na si kingine
Duh mimi nilisikia msemo 'umepewa lift unataka kupiga honi' sasa huyo kiboko yeye anataka kuendesha kabisa!
 
Unasimama unasema tukachimbe dawa


[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kuna vibe la safari ya peke yako kwenye gari.. hasa kwa siw wengine popote kambi... umeisha elewa [emoji3][emoji3][emoji3]

Duh umenichekesha sana....uzi wote changamoto hio hatukuijadili....Au nasema uongo ndugu zangu?!

[emoji3][emoji3][emoji3] nashukuruni sana wakuu,sasa nimepata namna ya kupambana na hali hio safarini.
 
Kuna sehemu inaitwa Suji napo kuna wapare milimani wilaya ya Same ni balaa kuliko huko Usangi wenyewe wanapanda hadi Kwa miguu bila shida.
Eee Bwana hiyo Suji ya Makanya usipime, inaitwa Ngulu Suji, wakati nikisoma nilipangiwa field assigment huko, usafiri ulikuwa Lori la Kijiji tunaanzia Makanya kutwa mara moja, yaani unaona mnaingia mawinguni baada ya kuvuka mashamba ya katani.
Enzi hizo ulikuwa Mji wa Wasabato hakuna kazi Jumamosi na Jumapili.
Jumatatu nikaomba uhamisho, ndipo nikahamishiwa Usangi ya Mombasa, Kikweni, Lomwe huko tulifaidi nghande za watoto wa kipare

RRONDO

hebu nihabarishe hivi kule Suji Milimani wameshaweka Lami?
 
Sidhani....
 
Sehemu za kwenda kutembea hizi.
 
kuna post nimeikuta huko nyumba eti Traffic anagomewa,
kuna jamaa yangu kaja nililia nikamuombee msamaha kwa Traffic kituoni
Eti juzi kawavimbia kwenye Zebra akaambiwa basi apark mbele Harrier yake Old Model kwani walimchukulia Leseni yake, kumbe yupo Vehicle Insp
Wakamwambia funua boneti, wakakuta ilikuwa ya 6 sasa kaweka 4 cylinder bila kubadili kwenye kadi TRA, duh wakampeleka kwao ili waing'oe injini waiweke rumande (eti ya wizi)
Jamani tuweni wapole HEWALA SI UTUMWA tutoe za kubrashi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…