Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kweli, katika gari za toyota ambayo nilionaga ni machine ni haswaa.. nayo ilikuwa ni toleo la canada, toyota corolla.. na ilikuwa na kisahani cha 240.. ile gari inatembea kishenzi.. ilinishangazaga, ila sio crown
Za huko ziko special kupambana na za wazungu. Upate Camry au Avensis ya UK moto wake balaa
 
Unaweza kupeleka ushahidi bado ukaambiwa hauridhishi.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Wabongo hatujikubali na hatuwakubali wenzetu.

Mf. Kuna mada humu zinauliza Kitenge anafanya shughuli gani mapaka kila siku anaenda Marekani.

Kwamba Kitenge hatakiwi kula maisha, anatakiwa kuishi kimasikini.

Ila angekuwa mzungu au muhindi tungeona poa tu.

Nakwambia, leta Bugatti hapa bongo, hata kama una hesabu zilizonyooka, watakung'ang'ania.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Bado kuna fikra za kijima 😀😀
 
Kwahio hamna wabongo wenye magari makali?
 
Ujamaa ni kuukumbatia umaskini...leo tunaaminishwa uzalendo ni pamoja na kua maskini[emoji51]
 
Nikitoa unazi wa Volvo, balaa ninalolitamani ni Audi RS6 4.0 TFSI V8 Avant Tiptronic quattro ya 2014.
Goma hili lina:
1. 0-62mph in 3.9 seconds
2. Top speed 155 mph
3. Cylinder 8, Valves 32
4. Engine power ni 552bhp
5. Engine torque ni 516 lbs/ft


Hivi bongo lipo hili gari?
 
Wajerumani wanaoongoza kununuliwa bongo;

1. VW
2. BMW
3. Benz
4. Audi
5. Porsche

Huyu mdudu hayupo bongo.

Hizi namba za huo uwezo zinatisha, ingekuwa SUV au Sedan ingekuwa bomba sana. Binafsi sipendi gari zenye umbo la Estates kama hilo.

Hata unipe bure, gari la hilo umbo silipendi. Mfano wa Toyota Wish, Fielder.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Hili jambo si bongo tu mkuu,kuna gari ukitembelea huko mbele hadi wazungu wenyewe wanaishangaa barabarani au kwenye parking lots sababu ni way too expensive.
 
Wapo wengi sana.

Ila ninachomaanisha. Kama hawakuelewi, lazima ulete uthibitisho.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Ni ngumu sana kwa mtu wa kawaida kuhojiwa chanzo cha hela wakati ananunua gari unless kuna kitu very alarming,hata kwa public servant ukiona umefatiliwa juwa kuna usnitch kwa wanaokuzunguka ofisin au uraian.Kuna mtu mwingine unakuta kachomewa na mtu ofisin anaulizwa hata Spacio katoa wapi hela ya kununulia-Tanzania ina mambo kwelikweli,kuna jamaa alihamishiwa mkoan akaenda na V8 binafsi ofisin staff mwenzake akamtonya jamaa asije nayo tena mkurugenzi hana hvyo lazima problem zitaanza na kiukweli nasikia jamaa hajawahi enda nayo ofisin tena 🤣 🤣 🤣 .Kama ni raia wa kawaida Nunua tu mzee-Kikubwa uwe na money.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…