Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Unakuwa mtumwa wa mali yako?Ni ngumu sana kwa mtu wa kawaida kuhojiwa chanzo cha hela wakati ananunua gari unless kuna kitu very alarming,hata kwa public servant ukiona umefatiliwa juwa kuna usnitch kwa wanaokuzunguka ofisin au uraian.Kuna mtu mwingine unakuta kachomewa na mtu ofisin anaulizwa hata Spacio katoa wapi hela ya kununulia-Tanzania ina mambo kwelikweli,kuna jamaa alihamishiwa mkoan akaenda na V8 binafsi ofisin staff mwenzake akamtonya jamaa asije nayo tena mkurugenzi hana hvyo lazima problem zitaanza na kiukweli nasikia jamaa hajawahi enda nayo ofisin tena [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] .Kama ni raia wa kawaida Nunua tu mzee-Kikubwa uwe na money.
Kama nimenunua hilo gari kihalali huyo mkurugenzi ataisoma namba.