Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh salale huyo jamaa akipata mzinga tunaokota kitu kimoja kimoja mainini pekee yake ,utumbo peke yake nk ....hatari sana aisee
 
Leo majira ya saa 11 jioni nimekutana na chuma moja kali sana lakini nimeshindwa kuifahamu kiundani. Imeandikwa CYANNE TURBO kwa nyuma then namba DV, body yake ni SUV kama VW tourage.

Hebu wataalamu mnaoifahamu hii chuma nipeni ABC's zake
Dah kwa nnavoelewa mimi hio ni moja ya suv ambayo ikikuacha imekuacha
Sporty sana
Wakisema mtu anakula kona akiwa 120 bila shida na imagine dude kama hilo
Wenyewe porsche walichukua 5 yrs to develop the stability of the car
5 years!!
 
Sema naangalia kweli uwezekano wa first gen boxster facelifted naona bei haitishi saana
Ila nahofia kama itanisumbua spare
Na practicality
Sema kama vyuma vikilegea niko interested sanaa niwe nalo
Nalitoa weekend moja moja god bless😍😍😍😎
Hivi bongo 911 zipo??
Maana ukiwa nayo ile sijui nini bongo kinakutisha
Labda ma aristo
 

Shida ya hio boxster ni kitu inaitwa IMS Bearings kama hio gari unayonunua wamesharekebisha hilo tatizo then poa,maana inaletaga tatizo la engine kufeli mazima huko mbelemi.
 
Hakuna cha Aristo pale.

Labda bugatti kwenda mbele.
 
Aristo/mark 2/Supra zote hizo zina engine ya 2jz-gte

Ingia youtube uone supra 911 turbos S zinavyoachwa na hizo 2jz-gte kama zimesimama vile.
Hizo zinefanyiwa mods. Ila ile stock vs stock ya 911 turbo sidhani kama hio 2jzgte itatoboa. Ukifanya mods hata Vitz inaweza kuwa quick than Mark X ila stock vs stock pound for pound ni mbingu na ardhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…