Ghostx
Member
- Oct 18, 2017
- 39
- 62
Hii itakuwa Volkswagen Beetle ya Burigi Chato [emoji1787] [emoji1787] ,hii gari kwa kuchemsha asikwambie mtu ila ndo hvyo mambo ya Beetle za you tube [emoji16][emoji16]
wazungu wana vile vigarage vyao viko uwani[emoji23][emoji23], wakiamua kufufua vigari vya babu zao wanakifufua kwelikweli.