Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Ngoja nikupe mfano wa Germany cars zinazofikia hizo 320km/h&above then utajifunza kitu.Kwahiyo gari zote za ujerumani hazimalizi visahani vya 320kph? Au ni golf tu unaoiongelea?
Porsche 9FF GT9R -2009
Mercedes SLR Class McLaren Stirling Moss -2009
Porsche 918 Spyder 4.6 V8 - 2013
Mercedes SLR Class McLaren 722 Edition - 2006
Mercedes SLR Class McLaren - 2003
Porsche Carrera GT - 2003
Audi R8 Performance 5.2 V10 - 2020
Audi R8 5.2 V10 RWD - 2019
Mercedes CLK GTR 6.9 V12 - 1998
Mercedes SLS AMG Roadster GT - 2012
Mercedes SL Class 65 AMG V12 Black Series R230 - 2008
Na nyinginezo.
Hizo gari zote zilizotajwa hapo juu unaona zina share kitu gani common na gari kama golf gti(apart from kwamba ni product ya VW) mpk iweze ifikie 320km/h?
Golf GTI na other cheap germany cars zenye dashboard hata ya 260km/h na hazifiki kwny hio top speed achilia mbali kufikia hio 320km/h ambayo ni ndoto kabisa.