Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ndo f12 berlinetta au?
Ndio huyo huyo mnyama

images (1).jpeg
 
Mwambie dereva atoe hicho kitaulo hapo juu ya dashibodi 😜.
Barabara ya vumbi iliyonyooka naipenda maana unaweza kwenda speed 50.

RAV4 old model ndo 🐷...!? (Nimejaribu kuotea 😅)
Halafu sijui kwanini barabara ya vumbi ukienda 50kph unahisi kama uko 120kph....ukiingia kwenye lami unashangaa gari haiendi!
 
Back
Top Bottom