Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwahiyo gari zote za ujerumani hazimalizi visahani vya 320kph? Au ni golf tu unaoiongelea?
Ngoja nikupe mfano wa Germany cars zinazofikia hizo 320km/h&above then utajifunza kitu.

Porsche 9FF GT9R -2009
Mercedes SLR Class McLaren Stirling Moss -2009
Porsche 918 Spyder 4.6 V8 - 2013
Mercedes SLR Class McLaren 722 Edition - 2006
Mercedes SLR Class McLaren - 2003
Porsche Carrera GT - 2003
Audi R8 Performance 5.2 V10 - 2020
Audi R8 5.2 V10 RWD - 2019
Mercedes CLK GTR 6.9 V12 - 1998
Mercedes SLS AMG Roadster GT - 2012
Mercedes SL Class 65 AMG V12 Black Series R230 - 2008
Na nyinginezo.

Hizo gari zote zilizotajwa hapo juu unaona zina share kitu gani common na gari kama golf gti(apart from kwamba ni product ya VW) mpk iweze ifikie 320km/h?

Golf GTI na other cheap germany cars zenye dashboard hata ya 260km/h na hazifiki kwny hio top speed achilia mbali kufikia hio 320km/h ambayo ni ndoto kabisa.
 
Asante RRONDO,,,Mjerumani aheshimiwe
Ngoja twende pound for pound.
Crown ndio top saloon ya Japanese Toyota line. Unafikiri inaweza kwenda sambamba na top ya Germany line?! Mfano top wa Merc au BMW?
Mark X wenzie akina 5seriese au A6 unafikiri Mark X inaweza kupambana na 523i au 530i?
Mark X au Crown inazisumbua Germany ndogo za cc2000 non-turbo nazo wakikaa kwenye long stretch Crown au Mark X inachemka(been there done that nina cc2000 ya Mjerumani hizo Crown na Mark X labda kwenye traffic light ndio atatangulia ila tupate stretch ya km2-3 namwacha.
Kifupi ukichukua pound for pound stock no mods hakuna mjapana atamsumbua Mjerumani ni vile tu tunafanya comparison zisizo na usawa mfano Crown vs Golf 2.0 ambayo pia ni vita kweli kweli.
Tafuta cc2000 ya Mjapan non turbo ipambanishe na cc2500 ya Mjerumani hata kuiona hata Iona.
 
Huo ni muundo tu wa engine kama unavyosema V configuration,Inline.

Ni sawa na kusema engine ya Nissan itakua sawa na engine ya Toyota kwa sababu zote 2 ni V6/V8.,kila ina magonjwa yake ya tofauti tofauti.
Doh sema sasa hio ims
Inatakiwa ifanyiwe huko huko au?
Na utajuaje imefanyiwa??
Na pia hapa bongo wanafundi wa porches kweli?
Ila nimemuona mtoto wa bahkressa mmoja ana bentley asee
Na ile kitu naskia ni matatizo kuyarekebisha na RR nmeiona pia
Basi kwa maana hio mafundi bongo wapo ila ni uchumi tu
Au nakosea give me your thoughts
 
Na ndio maana nasema 2JZ-GTE dunia nzima haijawahi kusifika ikiwa stock maana inatoa only 280hp.

Nadhani Hata huyo aliyeitaja Aristo anajua fika hilo, hapa tunaongelea engine inaweza kua tuned mpk kutoa 2000HP.
Hii engine ya 2JZ-GTE huwez kuifanyia modifications alafu ukaiita ni performance based engine, this is technically incorrect, In short si sahihi ku compare porsche 911 and Aristo in any form possible otherwise it's a mere joke.
Tukiachilia mambo mengine,umeogelea hii engine 2JZ-GTE inaweza kuwa modified na kufikia 2000HP (even though am not sure of it),Umeshawahi kujiuliza na hiyo engine ya porsche ikiwa modified inafikia HP ngapi?
 
Hii engine ya 2JZ-GTE huwez kuifanyia modifications alafu ukaiita ni performance based engine, this is technically incorrect, In short si sahihi ku compare porsche 911 and Aristo in any form possible otherwise it's a mere joke.
Tukiachilia mambo mengine,umeogelea hii engine 2JZ-GTE inaweza kuwa modified na kufikia 2000HP (even though am not sure of it),Umeshawahi kujiuliza na hiyo engine ya porsche ikiwa modified inafikia HP ngapi?
TOYOTA's are reliable cars but not performance cars.Tunapoongelea kwamba gari ni performance car hatuangalii tu upande mmoja wa speed,tunaangalia na aspects nyingine za gari.
 
Mkuu hii chuma ukiwa nayo..kama barabara ingekua haina matuta na umesafishiwa njia unamtanguliza mtu hadi morogoro kisha unafunguka...hafiki Ruaha ushamkama Dar-Mbeya.
Aah! Hiyo gari ya Mtaliano ni shidaa. Kwanza inaonekana ipo stable na ina nguvu na ina muungurumo wa kibabe sana. Unawatanguliza hadi Moro alafu unawapita na kuwapita tena. Wanakukuta unakunywa chai huku chuma inawasubiri

@supercar 2012 C.C RRONDO
 
Back
Top Bottom