Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Kwenye njia mbovu nikiwa mbele yako utatukana matusi yote, nakwepa shimo moja moja taratiiibu.
Mi huwa natukana tusi moja tuu ....( ) halafu natafuta usawa wa kumpita.
Kimoyomoyo najisemea muache kutongoza kwenye magari mtagongwa 😅.
Ukikuta mwanaume anaendesha amempakia demu ambaye ndo anamtongoza hajakubaliwa bado, usiombe awe mbele yako anaendesha taratibu ili asifike haraka anabembeleza akubaliwe khaa...!!
Ila ukilibembeleza gari kama paka linajua kudeka kidogo tuu linalia hiiii hiiii 😅😆😆😆