Dah! hz safari zinaenda kasi kweli kweli,mwingine mara haruhusu kukojoa njiani mara mwingine anaogopa kubeba abiria kwa kushindwa nafasi ya kujamba kwenye gari-Tuitafute tu 2025 manake hamna namna 🤣 🤣 🤣Ndio me pia simwelewi, sasa katoni ya maji alosema ananunua aanzapo safari sijui anaiweka wapi ama kwenye wiper tank [emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Bado hawajaweka laki,lami unaikuta kuanzia SengeremaBarabara ya Kamwanga Feri hadi Sengerema wameshaweka Lami?
Acha tu.Ndio me pia simwelewi, sasa katoni ya maji alosema ananunua aanzapo safari sijui anaiweka wapi ama kwenye wiper tank [emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kila mtu na sheria zake.Dah! hz safari zinaenda kasi kweli kweli,mwingine mara haruhusu kukojoa njiani mara mwingine anaogopa kubeba abiria kwa kushindwa nafasi ya kujamba kwenye gari-Tuitafute tu 2025 manake hamna namna [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
To put it short-huu ni ukatili,unajua madhara ya mtu kuvumilia mkojo kwa mda mrefu?Nikisimama hovyo nakata stimu, confidence inashuka sana na mood ya safari inapotea.
Huwa natumia km 50 za mwanzo wa safari kujenga confidence.
Nikiwa natoka mwenge kwa mfano, mpaka nafika tegeta kuna makosa ya kizembe sana huwa nafanya. Na huwa naendesha kwa stress sana.
Ila kuanzia bunju, akili yangu inakaa sawa. Confidence inaongezeka. Toka hapo, namwaga moto mpaka mwisho wa safari.
Kuna siku nilisafiri na mdogo wangu, akafika maeneo ya same akataka kuchimba dawa, nikamwabia utachimba destination. Aliniona kauzu sana ila ndo hivyo. Inabidi azoee.
Ukibonyeza ikiwaka maana ipo OFF! Ikizima maana iko ON!Sijawahi tumia hii button ya O/D.
Maana inachanganya. Sijui ikiwaka na ikizima inakuwaje.
ni ukatili mzee hasa kama wakike ndio umemtesa sana maana wao hawana sphincter muscles! Mkojo kuubana wao unawaumiza zaidi kiafya!Nikisimama hovyo nakata stimu, confidence inashuka sana na mood ya safari inapotea.
Huwa natumia km 50 za mwanzo wa safari kujenga confidence.
Nikiwa natoka mwenge kwa mfano, mpaka nafika tegeta kuna makosa ya kizembe sana huwa nafanya. Na huwa naendesha kwa stress sana.
Ila kuanzia bunju, akili yangu inakaa sawa. Confidence inaongezeka. Toka hapo, namwaga moto mpaka mwisho wa safari.
Kuna siku nilisafiri na mdogo wangu, akafika maeneo ya same akataka kuchimba dawa, nikamwabia utachimba destination. Aliniona kauzu sana ila ndo hivyo. Inabidi azoee.
Wadau naomba mwenye anaifahamu Subaru Forester SH9 anipe maelezo kidogo.Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi,marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga,Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?
Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo.
3. Mfuko uwe na afya kidogo
All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
View attachment 1652044
Na anaweza badalisha quality of life ya mtu maisha yake yote ikawa mbaya na kuingia expensive costs-Lakin cha kuchekesha dashboard ya gari ingemwonyesha engine ina overheat angesimama bila mjadala 🤣 🤣Huo n
ni ukatili mzee hasa kama wakike ndio umemtesa sana maana wao hawana sphincter muscles! Mkojo kuubana wao unawaumiza zaidi kiafya!
Extrovert ISO M.CodDWadau naomba mwenye anaifahamu Subaru Forester SH9 anipe maelezo kidogo.
Nafikiria kuvuta hii chuma.
Namna hii safari si inakuwa mateso?! Mimi Dar-Arusha nasimama Korogwe, nasimama Same then Moshi. Siwezi kwenda moja kwa moja kama ambulance.Na anaweza badalisha quality of life ya mtu maisha yake yote ikawa mbaya na kuingia expensive costs-Lakin cha kuchekesha dashboard ya gari ingemwonyesha engine ina overheat angesimama bila mjadala 🤣 🤣
Kama unawahisha magendo [emoji23][emoji23]Namna hii safari si inakuwa mateso?! Mimi Dar-Arusha nasimama Korogwe, nasimama Same then Moshi. Siwezi kwenda moja kwa moja kama ambulance.
1-Ina poor fuel economyWadau naomba mwenye anaifahamu Subaru Forester SH9 anipe maelezo kidogo.
Nafikiria kuvuta hii chuma.
Poor fuel economy ndio how much Kms per 1 litre urban and highway?1-Ina poor fuel economy
2-Ina tumia EJ25 engine family which are very powerful (2.5L)
3-Ina horsepower kubwa.
4-Max speed 240km/hr
Nani ananunua 2.5L turbocharged engine ategemee low fuel consumption?!Poor fuel economy ndio how much Kms per 1 litre urban and highway?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Exactly! Safari kwenye private car inapaswa kuwa very funny na comfortable-Siyo unakuta mtu anaendesha germany machine kwa mawazo ya ki TOYOTA 🤣 🤣Namna hii safari si inakuwa mateso?! Mimi Dar-Arusha nasimama Korogwe, nasimama Same then Moshi. Siwezi kwenda moja kwa moja kama ambulance.