Dah! hz safari zinaenda kasi kweli kweli,mwingine mara haruhusu kukojoa njiani mara mwingine anaogopa kubeba abiria kwa kushindwa nafasi ya kujamba kwenye gari-Tuitafute tu 2025 manake hamna namna 🤣 🤣 🤣Ndio me pia simwelewi, sasa katoni ya maji alosema ananunua aanzapo safari sijui anaiweka wapi ama kwenye wiper tank [emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app