Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ndio me pia simwelewi, sasa katoni ya maji alosema ananunua aanzapo safari sijui anaiweka wapi ama kwenye wiper tank [emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Dah! hz safari zinaenda kasi kweli kweli,mwingine mara haruhusu kukojoa njiani mara mwingine anaogopa kubeba abiria kwa kushindwa nafasi ya kujamba kwenye gari-Tuitafute tu 2025 manake hamna namna 🤣 🤣 🤣
 
Dah! hz safari zinaenda kasi kweli kweli,mwingine mara haruhusu kukojoa njiani mara mwingine anaogopa kubeba abiria kwa kushindwa nafasi ya kujamba kwenye gari-Tuitafute tu 2025 manake hamna namna [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kila mtu na sheria zake.

Wengine hawaruhusu hata upande na zaidi ya begi moja kwenye gari yake.
 
Nikisimama hovyo nakata stimu, confidence inashuka sana na mood ya safari inapotea.

Huwa natumia km 50 za mwanzo wa safari kujenga confidence.

Nikiwa natoka mwenge kwa mfano, mpaka nafika tegeta kuna makosa ya kizembe sana huwa nafanya. Na huwa naendesha kwa stress sana.

Ila kuanzia bunju, akili yangu inakaa sawa. Confidence inaongezeka. Toka hapo, namwaga moto mpaka mwisho wa safari.

Kuna siku nilisafiri na mdogo wangu, akafika maeneo ya same akataka kuchimba dawa, nikamwabia utachimba destination. Aliniona kauzu sana ila ndo hivyo. Inabidi azoee.
To put it short-huu ni ukatili,unajua madhara ya mtu kuvumilia mkojo kwa mda mrefu?
What is destination kwenye personal health ya mtu?
 
I
Sijawahi tumia hii button ya O/D.

Maana inachanganya. Sijui ikiwaka na ikizima inakuwaje.
Ukibonyeza ikiwaka maana ipo OFF! Ikizima maana iko ON!

Ukiweka off unarudi gear ya 3 gari inavuma ila inapika torque zaidi ukirudisha ON inachanganya kama Jetfighter inachanganya haraka sana kama ni kuovertake inakuwa kwa wepesi sana umemkata mtu.
 
Huo n
Nikisimama hovyo nakata stimu, confidence inashuka sana na mood ya safari inapotea.

Huwa natumia km 50 za mwanzo wa safari kujenga confidence.

Nikiwa natoka mwenge kwa mfano, mpaka nafika tegeta kuna makosa ya kizembe sana huwa nafanya. Na huwa naendesha kwa stress sana.

Ila kuanzia bunju, akili yangu inakaa sawa. Confidence inaongezeka. Toka hapo, namwaga moto mpaka mwisho wa safari.

Kuna siku nilisafiri na mdogo wangu, akafika maeneo ya same akataka kuchimba dawa, nikamwabia utachimba destination. Aliniona kauzu sana ila ndo hivyo. Inabidi azoee.
ni ukatili mzee hasa kama wakike ndio umemtesa sana maana wao hawana sphincter muscles! Mkojo kuubana wao unawaumiza zaidi kiafya!
 
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi,marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga,Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?

Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo.
3. Mfuko uwe na afya kidogo

All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
View attachment 1652044
Wadau naomba mwenye anaifahamu Subaru Forester SH9 anipe maelezo kidogo.

Nafikiria kuvuta hii chuma.
 
Huo n

ni ukatili mzee hasa kama wakike ndio umemtesa sana maana wao hawana sphincter muscles! Mkojo kuubana wao unawaumiza zaidi kiafya!
Na anaweza badalisha quality of life ya mtu maisha yake yote ikawa mbaya na kuingia expensive costs-Lakin cha kuchekesha dashboard ya gari ingemwonyesha engine ina overheat angesimama bila mjadala 🤣 🤣
 
Namna hii safari si inakuwa mateso?! Mimi Dar-Arusha nasimama Korogwe, nasimama Same then Moshi. Siwezi kwenda moja kwa moja kama ambulance.
 
Back
Top Bottom