Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mjini kukimbia polisi ni kama unakalia bomu.

Huchelewi kukuta foleni hatua 500 mbele. Akikuchukulia bodaboda anaweza kukulaza ndani.

Anaweza kukubambikia kesi ulikuwa na madawa.

Hawa watu wakimbie highway huko, akiwaza kukuchukulia boda anaona hasara tupu.

Nikipata muda ntakupa kisa cha mtu amekimbizwa na gari ya polisi toka msata mpaka mbezi mwisho na akakamatwa. Usiulize pesa aliotoa kuweka mambo sawa. Hawa jamaa wakikuamulia unaweza uza kiwanja ukafuta kesi huko.
 
Ahaa mie naionaga tu hio S sema kwenye gearbox za tiptronic!

Nadhani ni kwa ajili ya simulated manual shifting sababu kuna + na - juu na chini ya herufi S! Unaweza panga gia ya kwanza mpaka ya 5 ila ukitaka auto shifting unarudisha D
Hapa S haihusiki na manual shift. S ni sporty option ya D. Manual inakuwa tofauti na D na S. Yenyewe iko pembeni kama +/-
 
Kuepuka hayo yote ukisimamishwa simama tu. 30,000/- sio nyingi Kama hio ya kuuza kiwanja, na dakika utakazopoteza hapo ni chache kuliko dakika utakazopoteza kwenye foleni Mbezi mwisho au boko/bunju.
 
Ndio maana ukiona mtu wa mbele ana viashiria vya kuovertake inampigia honi kabla ya kumkata. Wengi sana ndio wanashtuka na kurudi kushoto.
 
Polisi labda uone hawana alternative ya usafiri sio wamepaki Cruiser lao we unajifanya kuwakimbia 😂😂😂 wakikuungia ni msala!
 
Mjini pa kipumbavu, mataa kila mahali na foleni 😂😂😂!!! Ukikimbia umejimaliza 😁😁😁 bora uwape ya kubrashia viatu tu au uwakwepe! Mfano wako mita 10 mbele wewe ukatishie uchochoro wa pembeni au ugeuze gari urudi ulipotoka.
 
Hapana inaokoa muda between gear changes up or downshift, hivyo inakupa quick acceleration.
Huenda labda but navyoelewa ili gari iwe na speed you need more torque whichi is likely found in low gears.

Thus why ukiwa gentle on pedal gari inabadili gears faster ila ukiwa na pupa gari ina hold gears zaidi sababu inapika more torque ili ikimbie zaidi.
 
Speed utaipatia wapi na foleni zetu kila mahali? Open road hakupati kwasababu bodaboda zenye ni sanlag na wenzie.
Barabara ya Highway atakupataje sasa? Labda awe na zile BMW za kipolisi 😁😁😁! SANLG hata mie namkazia mguu tu! Nikikunja kona moja tu inabaki story!

Kwa wenzetu wana mabarabara mapana unaweza weave Dar to Morogoro
 
Yeah hio unaipata hata kwenye D. Sema S ndio inaongeza ufanisi btn gear changes. Yaani kama D inatumia 0.5sec kubadili gear S inatumia 0.1s kubadili gear(kutoka gear moja kuingia ingine)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…