Hapo maanake ni hiiHuenda labda but navyoelewa ili gari iwe na speed you need more torque whichi is likely found in low gears.
Thus why ukiwa gentle on pedal gari inabadili gears faster ila ukiwa na pupa gari ina hold gears zaidi sababu inapika more torque ili ikimbie zaidi.
Kuna siku, Polisi walikuwa na Cruiser yao. Wana mpiga mwamba mkono. Mwamba akawapotezea. Wakageuza kuifukizia ile gari ( High way ), mbona walirudi wamelowa.. chapa chapa.. wanatukana tu, wamepoteza wese na jamaa wakaambulia upepoPolisi labda uone hawana alternative ya usafiri sio wamepaki Cruiser lao we unajifanya kuwakimbia 😂😂😂 wakikuungia ni msala!
Basi itakuwa mzuka sema mi napenda sana gari yenye tiptronic! Nilikuwa na Option ya kuchukua 3S-GTE Caldina yenyewe ilikuwa na tiptronic sema nikaogopa kuungua sheli 😂😂😂Yeah hio unaipata hata kwenye D. Sema S ndio inaongeza ufanisi btn gear changes. Yaani kama D inatumia 0.5sec kubadili gear S inatumia 0.1s kubadili gear(kutoka gear moja kuingia ingine)
Upo sahihi, Cruiser hakuna kitu. Nimeshuhudia kwa macho yangu walipiga gari mkono, jamaa akapitiliza, wakaliamsha, na wakarudi hoi.. naona jamaa aliwapasua mapafu huko mbeleni wakaona isiwe tabu. Kukimbia trafic sio busara huwezo jua.. unaweza kimbia ukapata la kupata ukawa na vime plusYale ma Cruiser mabovu hawanipati bodaboda ndio huwezi kuikimbia. Nitasimama sio kwa kuogopa gari zao.
Hahahahah sasa kama una chombo chenye 260KPH ubaoni + brakes na shocks nzuri unaachaje kuwa kimbia mbuzi wale. Unachapa 180KPH kwa kipande kifupi lazma watukanane tu.Kuna siku, Polikiwa na Cruiser yao. Wana mpiga mwamba mkono. Mwamba akawapotezea. Wakageuza kuifukizia ile gari ( High way ), mbona walirudi wamelowa.. chapa chapa.. wanatukana tu, wamepoteza wese na jamaa wakaambulia upepo
Yale ma 1HZ hayana nguvu hasa milimani ndio unayakata vizuri maana yanasinzia sana ila tambarare ndio yana balaa😁😁😁! Ubaya hayavukagi 160KPH top speed hata uwe Paul Walker.. So ukiwa na gari nyepesi kwenye speed unawakacha vizuri sana.Upo sahihi, Cruiser hakuna kitu. Nimeshuhudia kwa macho yangu walipiga gari mkono, jamaa akapitiliza, wakaliamsha, na wakarudi hoi.. naona jamaa aliwapasua mapafu huko mbeleni wakaona isiwe tabu. Kukimbia trafic sio busara huwezo jua.. unaweza kimbia ukapata la kupata ukawa na vime plus
Hata GX100 zile Cruiser zimechoka hakupati. All in all ukisimamishwa simama. Kwani unaficha nini? 30,000 ni ndogo kuliko kesi ya kuzuia polisi kufanya kazi yake. Pia kwanini ulikimbia? Ulibeba magendo umewahi kutaficha?!Hahahahah sasa kama una chombo chenye 260KPH ubaoni + brakes na shocks nzuri unaachaje kuwa kimbia mbuzi wale. Unachapa 180KPH kwa kipande kifupi lazma watukanane tu.
Walikuwa na 70 series, na ilikuwa tambalale. Ila walirudi wanatukanaYale ma 1HZ hayana nguvu hasa milimani ndio unayakata vizuri maana yanasinzia sana ila tambarare ndio yana balaa😁😁😁! Ubaya hayavukagi 160KPH top speed hata uwe Paul Walker.. So ukiwa na gari nyepesi kwenye speed unawakacha vizuri sana.
Ukipiga milima miwili ukashuka unawaacha wamepoteana 😂😂😂
Caldina hio ni moto! Wese hata kwenye D ukikamua linaenda tu.Basi itakuwa mzuka sema mi napenda sana gari yenye tiptronic! Nilikuwa na Option ya kuchukua 3S-GTE Caldina yenyewe ilikuwa na tiptronic sema nikaogopa kuungua sheli 😂😂😂
Hapo ndio kesi sasa.Hata GX100 zile Cruiser zimechoka hakupati. All in all ukisimamishwa simama. Kwani unaficha nini? 30,000 ni ndogo kuliko kesi ya kuzuia polisi kufanya kazi yake. Pia kwanini ulikimbia? Ulibeba magendo umewahi kutaficha?!
umeme ule more than 250HPCaldina hio ni moto! Wese hata kwenye D ukikamua linaenda tu.
Na ma askari wetu wanavyopenda kumjaza mtu upepo utajutaaaa 😀😀😀😀😀 kukimbia.Hapo ndio kesi sasa.
Hahahahahah we ni askari mwenzao nini mkuu😁😁😁Walikuwa na 70 series, na ilikuwa tambalale. Ila walirudi wanatukana
Unaambiwa we ni jela moja kwa moja 😂😂😂 unakimbia askari halafu huyu atakuwa alibeba mirungi tu 😃Na ma askari wetu wanavyopenda kumjaza mtu upepo utajutaaaa 😀😀😀😀😀 kukimbia.
Kuna officer nilikuwa nafahamiana nae, nikawa napiga nae story, mkasa unatokea nipo pale pale kwenye kilinge chao cha kuwatia watu adabu nje ya mji 😀😀😀. Nilikuwa nawacheka kimoyo moyo, nahisi kwenye akili zao walijua ile ndio mboga iliyonona 😀😀. Akilini kipindi wanaichapa mkono ile gari na ilipogoma simama wakasema huyu ndio mzuri fateni huyo, 😀😀😀 nikajisemea moyoni fanyeni zoezi bana.. maana mashine ilikuwa ni Volvo, na nina hisi jamaa alikataa kusimama kwasababu hakukuwa na reflecteor wala hakuna alie kuwa kavaa uniform nahisi kwa usalama wake pia ndio maana alikanyaga kibati maana hata mie nisinge simama, ilikuwa inaelekea saa moja usikuHahahahahah we ni askari mwenzao nini mkuu😁😁😁
Acha tu sina hamu na askari, wana kutingisha saikolojia yako hadi upanick.. ili wakutie nyavuni vizuriUnaambiwa we ni jela moja kwa moja 😂😂😂 unakimbia askari halafu huyu atakuwa alibeba mirungi tu 😃
Usiku noma hata gari mnayoifukuza inaweza kuingia njia mbovu kushoto au kulia akazima taa na nyie mkapita mbio bila kumuona halafu anarudi barabarani kuwafuata nyuma.Kuna officer nilikuwa nafahamiana nae, nikawa napiga nae story, mkasa unatokea nipo pale pale kwenye kilinge chao cha kuwatia watu adabu nje ya mji 😀😀😀. Nilikuwa nawacheka kimoyo moyo, nahisi kwenye akili zao walijua ile ndio mboga iliyonona 😀😀. Akilini kipindi wanaichapa mkono ile gari na ilipogoma simama wakasema huyu ndio mzuri fateni huyo, 😀😀😀 nikajisemea moyoni fanyeni zoezi bana.. maana mashine ilikuwa ni Volvo, na nina hisi jamaa alikataa kusimama kwasababu hakukuwa na reflecteor wala hakuna alie kuwa kavaa uniform nahisi kwa usalama wake pia ndio maana alikanyaga kibati maana hata mie nisinge simama, ilikuwa inaelekea saa moja usiku
Inawezekana kabisa. Ila yule mwamba aliwachapa maana ile ilikuwa bado giza halijaingia la kwamba mtu asionekane au usimuone, mikoa mingine saa moja jioni kunakuwa bado na kajua ndio kanaishilizia ishiliziaUsiku noma hata gari mnayoifukuza inaweza kuingia njia mbovu kushoto au kulia akazima taa na nyie mkapita mbio bila kumuona halafu anarudi barabarani kuwafuata nyuma.
Tofauti kubwa kwetu na Ulaya na MArekani ni kwamba kule highways hazipiti kwenye miji, zinapita pembezoni mwa miji. Kunakuwa na 'exit ways' za kuingia na kutoka kwenye miji kushika highways. Na kuna sehemu haswa Ulaya barabara zinawekewa kingo kubwa kama ukuta kila upande ili kuondoa kabisa uwezekano wa highways kuvamia na watu au wanyama. In fact kuna highway Uholanzi wamejenga daraja la juu kwa ajili ya wanyama kupita. Ndiyo maana kuna freeways Marekani, Autobahn Ujerumani na Snelweg Uholanzi - hizi zote ni express highways, barabara za kuchapa mwendo bila kero yoyote barabarani.Ila huku jamaa Highway wamejaza rasta wanaudhi kinomaa. Hao wanakijiji wajengewe daraja kama la Buguruni lile wavukege sio kutukera na matuta.