Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Huenda labda but navyoelewa ili gari iwe na speed you need more torque whichi is likely found in low gears.

Thus why ukiwa gentle on pedal gari inabadili gears faster ila ukiwa na pupa gari ina hold gears zaidi sababu inapika more torque ili ikimbie zaidi.
Hapo maanake ni hii
Mfano zote(D/S) ukikamua gear namba 1 zinaenda rpm mpaka 4500. Sasa kutoka namba 1 kwenda 2 D itatumia 0.5sec ila S itatumia 0.1sec kwahio S itakuwa faster overall.
 
Polisi labda uone hawana alternative ya usafiri sio wamepaki Cruiser lao we unajifanya kuwakimbia 😂😂😂 wakikuungia ni msala!
Kuna siku, Polisi walikuwa na Cruiser yao. Wana mpiga mwamba mkono. Mwamba akawapotezea. Wakageuza kuifukizia ile gari ( High way ), mbona walirudi wamelowa.. chapa chapa.. wanatukana tu, wamepoteza wese na jamaa wakaambulia upepo
 
Yeah hio unaipata hata kwenye D. Sema S ndio inaongeza ufanisi btn gear changes. Yaani kama D inatumia 0.5sec kubadili gear S inatumia 0.1s kubadili gear(kutoka gear moja kuingia ingine)
Basi itakuwa mzuka sema mi napenda sana gari yenye tiptronic! Nilikuwa na Option ya kuchukua 3S-GTE Caldina yenyewe ilikuwa na tiptronic sema nikaogopa kuungua sheli 😂😂😂
 
Yale ma Cruiser mabovu hawanipati bodaboda ndio huwezi kuikimbia. Nitasimama sio kwa kuogopa gari zao.
Upo sahihi, Cruiser hakuna kitu. Nimeshuhudia kwa macho yangu walipiga gari mkono, jamaa akapitiliza, wakaliamsha, na wakarudi hoi.. naona jamaa aliwapasua mapafu huko mbeleni wakaona isiwe tabu. Kukimbia trafic sio busara huwezo jua.. unaweza kimbia ukapata la kupata ukawa na vime plus
 
Kuna siku, Polikiwa na Cruiser yao. Wana mpiga mwamba mkono. Mwamba akawapotezea. Wakageuza kuifukizia ile gari ( High way ), mbona walirudi wamelowa.. chapa chapa.. wanatukana tu, wamepoteza wese na jamaa wakaambulia upepo
Hahahahah sasa kama una chombo chenye 260KPH ubaoni + brakes na shocks nzuri unaachaje kuwa kimbia mbuzi wale. Unachapa 180KPH kwa kipande kifupi lazma watukanane tu.
 
Upo sahihi, Cruiser hakuna kitu. Nimeshuhudia kwa macho yangu walipiga gari mkono, jamaa akapitiliza, wakaliamsha, na wakarudi hoi.. naona jamaa aliwapasua mapafu huko mbeleni wakaona isiwe tabu. Kukimbia trafic sio busara huwezo jua.. unaweza kimbia ukapata la kupata ukawa na vime plus
Yale ma 1HZ hayana nguvu hasa milimani ndio unayakata vizuri maana yanasinzia sana ila tambarare ndio yana balaa😁😁😁! Ubaya hayavukagi 160KPH top speed hata uwe Paul Walker.. So ukiwa na gari nyepesi kwenye speed unawakacha vizuri sana.

Ukipiga milima miwili ukashuka unawaacha wamepoteana 😂😂😂
 
Hahahahah sasa kama una chombo chenye 260KPH ubaoni + brakes na shocks nzuri unaachaje kuwa kimbia mbuzi wale. Unachapa 180KPH kwa kipande kifupi lazma watukanane tu.
Hata GX100 zile Cruiser zimechoka hakupati. All in all ukisimamishwa simama. Kwani unaficha nini? 30,000 ni ndogo kuliko kesi ya kuzuia polisi kufanya kazi yake. Pia kwanini ulikimbia? Ulibeba magendo umewahi kutaficha?!
 
Yale ma 1HZ hayana nguvu hasa milimani ndio unayakata vizuri maana yanasinzia sana ila tambarare ndio yana balaa😁😁😁! Ubaya hayavukagi 160KPH top speed hata uwe Paul Walker.. So ukiwa na gari nyepesi kwenye speed unawakacha vizuri sana.

Ukipiga milima miwili ukashuka unawaacha wamepoteana 😂😂😂
Walikuwa na 70 series, na ilikuwa tambalale. Ila walirudi wanatukana
 
Hahahahahah we ni askari mwenzao nini mkuu😁😁😁
Kuna officer nilikuwa nafahamiana nae, nikawa napiga nae story, mkasa unatokea nipo pale pale kwenye kilinge chao cha kuwatia watu adabu nje ya mji 😀😀😀. Nilikuwa nawacheka kimoyo moyo, nahisi kwenye akili zao walijua ile ndio mboga iliyonona 😀😀. Akilini kipindi wanaichapa mkono ile gari na ilipogoma simama wakasema huyu ndio mzuri fateni huyo, 😀😀😀 nikajisemea moyoni fanyeni zoezi bana.. maana mashine ilikuwa ni Volvo, na nina hisi jamaa alikataa kusimama kwasababu hakukuwa na reflecteor wala hakuna alie kuwa kavaa uniform nahisi kwa usalama wake pia ndio maana alikanyaga kibati maana hata mie nisinge simama, ilikuwa inaelekea saa moja usiku
 
Usiku noma hata gari mnayoifukuza inaweza kuingia njia mbovu kushoto au kulia akazima taa na nyie mkapita mbio bila kumuona halafu anarudi barabarani kuwafuata nyuma.
 
Usiku noma hata gari mnayoifukuza inaweza kuingia njia mbovu kushoto au kulia akazima taa na nyie mkapita mbio bila kumuona halafu anarudi barabarani kuwafuata nyuma.
Inawezekana kabisa. Ila yule mwamba aliwachapa maana ile ilikuwa bado giza halijaingia la kwamba mtu asionekane au usimuone, mikoa mingine saa moja jioni kunakuwa bado na kajua ndio kanaishilizia ishilizia
 
Ila huku jamaa Highway wamejaza rasta wanaudhi kinomaa. Hao wanakijiji wajengewe daraja kama la Buguruni lile wavukege sio kutukera na matuta.
Tofauti kubwa kwetu na Ulaya na MArekani ni kwamba kule highways hazipiti kwenye miji, zinapita pembezoni mwa miji. Kunakuwa na 'exit ways' za kuingia na kutoka kwenye miji kushika highways. Na kuna sehemu haswa Ulaya barabara zinawekewa kingo kubwa kama ukuta kila upande ili kuondoa kabisa uwezekano wa highways kuvamia na watu au wanyama. In fact kuna highway Uholanzi wamejenga daraja la juu kwa ajili ya wanyama kupita. Ndiyo maana kuna freeways Marekani, Autobahn Ujerumani na Snelweg Uholanzi - hizi zote ni express highways, barabara za kuchapa mwendo bila kero yoyote barabarani.

Sasa highways zetu, zote zinapita kwenye miji na vijiji. Hapo lazima tuwekewe matuta ya viazi mbatata!
 
Back
Top Bottom