Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Road trip:


Dar-Moro-dom-kondoa-babati-arusha-moshi

Safar inaanza tarehe 23 mpaka dom namsalimia JPM pale halafu nalala kondoa nakula xmass kondoa tarehe 26 mapema naanza safar babati pale kuna samak watam sana wa ziwa babati halaf nanyoosha arusha mpaka kwa mromboo napiga mbuz then naamsha mpaka changbay moshi mjin nakula kuku wa kutosha pale napitia duka la jumla la vinywaji vikali pale moshi mjin kunaitwa kwa MASUKI hapa ntachukua CARTON ya KONYAGI KUBWA baada ya hapo moja kwa moja URU KISHIMUNDU...eeh MUNGU nitangulie
 
Bonge la trip
 
50kph zone naenda 50kph....ikiisha najiachia anyway aim yangu kubwa niachane na mji asubuhi kabla watu hawajaamka
Dah, still you wont make it bruh, matuta ni mengi kinyama.

If you have great set eyes nashauri chomoka saa 10 jioni mdo mdo saa 4 uwe Moshi. Kwa kiza kiza unaeza fungua chuma ukafidia matuta.

Ila matuta + vibao = 8hrs
 
Dah, still you wont make it bruh, matuta ni mengi kinyama. If you have great eyes nashauri chomoka saa 10 jioni mdo mdo saa 4 uwe Moshi. Kwa kiza kiza unaeza fungua chuma ukafidia matuta.

Ila matuta + vibao = 8hrs
Poa,hata nikifika saa nane it's okay. Muhimu ni kuepuka foleni Dar-Bagamoyo. Saa 10 jioni unaweza kufika Bagamoyo saa mbili usiku ilinitokea mwaka huu huu.
 
Mafinga hiyo, msitu wa Sao Hill
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…