Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ok hizo Barrier za POLISI zinawekwa kwenye maeneo ya Ujambazi wa kutumia magari.
kwa mfano Njia ya Dodoma Kondoa kuna msitu mkubwa wa Hifadhi ya Mlima Mtungutu, ndani ya Mlima huo majambazi yaliteka magari sana hiyo POLISI wakaweka mageti (Barriers) mawili, ukianza kuingia huo msitu na ukitoka, maana yake km patatokea tukio basi hatatoka huyo jambazi aliyefanya tukio, na gari za silaha zitaingia.
Mfano ukikoswakoswa kutekwa ukiikuta Barrier unawaambia
nyingine Barabara ya Dodoma Morogoro unaikuta Makalavati, Dumila Dakawa nk
Kuna kipindi Chalinze Msata Segera JWTZ waliamua waPatrol wenyewe baada ya kuona POLISI wamelemewa na inasemekana ni POLISI wenyewe walijua ni nini kinaendelea
Hivyo Barrier ni eneo lolote hatarishi lakini yanatambulika, km litatokea ghafla limetegwa na majambazi ndani ya masaa litasambaratishwa
Kwa kweli Barabara zetu kuu hapa TZ ni salama kwa usiku labda uwe na breakdown
Umenikumbusha hii ya Dodoma - Kondoa hapa nyuma kabla ya kufika Chemba kuna kituo kidogo cha polisi pia sijui ndio Itiso pale au la wao wanafunga geti kabisa hata mchana. So hakuna namna utapita juu kwa juu japo sio nyakati zote wanakagua thoroughly lakini walau mtasimamishwa pande zote za barabara muendao na mrudio

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
ukiikuta Barrier mchana au usiku utaijua kwa kusimamishwa chuma la alama V iliyolala tena mawili na kibao chao cha simama au taa usiku au tochi hao ni POLISI
ukikuta ni mlingoti wa kuburuza au kunyanyua kwa kamba hao ni MALI ASILI km Kidatu, Kolo Kondoa Bereko nk
POLISI km pale Kisongo nishawahi watoroka usiku kwa kuwa tu sikuwa na kitu na alishasimamisha gari nyingine km 2, ila kwa mchana wanakuwepo pia Immagration hawa wanawasalimieni mmoja mmoja hasa magari binafsi, Mambo vipi msela = utakavyojibu wao watajua wewe ni mTZ kwa hiyo Barrier zina ukaguzi mwingi na zimemaliza ujambazi wa usiku
Good explanation.
 
Ok hizo Barrier za POLISI zinawekwa kwenye maeneo ya Ujambazi wa kutumia magari.
kwa mfano Njia ya Dodoma Kondoa kuna msitu mkubwa wa Hifadhi ya Mlima Mtungutu, ndani ya Mlima huo majambazi yaliteka magari sana hiyo POLISI wakaweka mageti (Barriers) mawili, ukianza kuingia huo msitu na ukitoka, maana yake km patatokea tukio basi hatatoka huyo jambazi aliyefanya tukio, na gari za silaha zitaingia.
Mfano ukikoswakoswa kutekwa ukiikuta Barrier unawaambia
nyingine Barabara ya Dodoma Morogoro unaikuta Makalavati, Dumila Dakawa nk
Kuna kipindi Chalinze Msata Segera JWTZ waliamua waPatrol wenyewe baada ya kuona POLISI wamelemewa na inasemekana ni POLISI wenyewe walijua ni nini kinaendelea
Hivyo Barrier ni eneo lolote hatarishi lakini yanatambulika, km litatokea ghafla limetegwa na majambazi ndani ya masaa litasambaratishwa
Kwa kweli Barabara zetu kuu hapa TZ ni salama kwa usiku labda uwe na breakdown
Vizuri sana inatia moyo.
 
ukiikuta Barrier mchana au usiku utaijua kwa kusimamishwa chuma la alama V iliyolala tena mawili na kibao chao cha simama au taa usiku au tochi hao ni POLISI
ukikuta ni mlingoti wa kuburuza au kunyanyua kwa kamba hao ni MALI ASILI km Kidatu, Kolo Kondoa Bereko nk
POLISI km pale Kisongo nishawahi watoroka usiku kwa kuwa tu sikuwa na kitu na alishasimamisha gari nyingine km 2, ila kwa mchana wanakuwepo pia Immagration hawa wanawasalimieni mmoja mmoja hasa magari binafsi, Mambo vipi msela = utakavyojibu wao watajua wewe ni mTZ kwa hiyo Barrier zina ukaguzi mwingi na zimemaliza ujambazi wa usiku
Hii ya Maafisa wa Immigration imenikuta last week kwenye basi la Mbeya - Singida pale getini Mtera, dogo kaingia nami nimekaa zangu line ya pili toka kwa suka, akanizoom namcheki tu akanisalimia sikumsikia freshi nikamuuliza "eenh akarudia vipi nimkamjibu freshi niaje" akaendelea kucheki cheki nyuma huko akashuka zake. Kama sio mzawa kweli kuna tuvitu utambwela tu

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Hii ya Maafisa wa Immigration imenikuta last week kwenye basi la Mbeya - Singida pale getini Mtera, dogo kaingia nami nimekaa zangu line ya pili toka kwa suka, akanizoom namcheki tu akanisalimia sikumsikia freshi nikamuuliza "eenh akarudia vipi nimkamjibu freshi niaje" akaendelea kucheki cheki nyuma huko akashuka zake. Kama sio mzawa kweli kuna tuvitu utambwela tu

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Ngoja siku moja niwajibu kwa Kiswahili cha Kenya
 
Hii ya Maafisa wa Immigration imenikuta last week kwenye basi la Mbeya - Singida pale getini Mtera, dogo kaingia nami nimekaa zangu line ya pili toka kwa suka, akanizoom namcheki tu akanisalimia sikumsikia freshi nikamuuliza "eenh akarudia vipi nimkamjibu freshi niaje" akaendelea kucheki cheki nyuma huko akashuka zake. Kama sio mzawa kweli kuna tuvitu utambwela tu

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
hahaa!Mkuu ungemwambia poa kwa lafudhi ya kinaijeria
 
Afisa: Niaje
Rrondo: Fiti sana/poa sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee Baba lazima wakuzingue kutaka papers zako, salama yako ni kuwa umetembea na uthibitisho wa Utanzania wako [emoji4][emoji4]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hapo National ID iko mfuko wa shati.
Afisa:Niaje
Mimi: Niaje juu ya nini?
 
Hapo National ID iko mfuko wa shati.
Afisa:Niaje
Mimi: Niaje juu ya nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] af umeweka sura ya kazi saa hizo, heri iwe private ride aisee ikiwa public transport na pengine jirani yako ama abiria wengine happened wamepata kukusikia ukitiririka fluently utaonekana mjivuni flani tu unataka kuwachetua maafisa

Back
Top Bottom