Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Umenikumbusha hii ya Dodoma - Kondoa hapa nyuma kabla ya kufika Chemba kuna kituo kidogo cha polisi pia sijui ndio Itiso pale au la wao wanafunga geti kabisa hata mchana. So hakuna namna utapita juu kwa juu japo sio nyakati zote wanakagua thoroughly lakini walau mtasimamishwa pande zote za barabara muendao na mrudio

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Good explanation.
 
Vizuri sana inatia moyo.
 
Hii ya Maafisa wa Immigration imenikuta last week kwenye basi la Mbeya - Singida pale getini Mtera, dogo kaingia nami nimekaa zangu line ya pili toka kwa suka, akanizoom namcheki tu akanisalimia sikumsikia freshi nikamuuliza "eenh akarudia vipi nimkamjibu freshi niaje" akaendelea kucheki cheki nyuma huko akashuka zake. Kama sio mzawa kweli kuna tuvitu utambwela tu

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Ngoja siku moja niwajibu kwa Kiswahili cha Kenya
 
hahaa!Mkuu ungemwambia poa kwa lafudhi ya kinaijeria
 
Hapo National ID iko mfuko wa shati.
Afisa:Niaje
Mimi: Niaje juu ya nini?
 
Hapo National ID iko mfuko wa shati.
Afisa:Niaje
Mimi: Niaje juu ya nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] af umeweka sura ya kazi saa hizo, heri iwe private ride aisee ikiwa public transport na pengine jirani yako ama abiria wengine happened wamepata kukusikia ukitiririka fluently utaonekana mjivuni flani tu unataka kuwachetua maafisa

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…