Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

wanamatatizo sana,
wamenisimamisha saa 11 wakati narudi dar na vitochi vyao.
Bahati nzuri nilipakia mjeda kutokea chalinze, ndo ikawa gate pass yangu ya kutopoteza muda
Jamaa hovyo Sana sema mida hiyo wakikubamba toa hata 5K fasta unasepa usipende kubishana nao maana mida hiyo ni ya pesa za kubrashia viatu hahahaaa!
 
Kuanzia pale Ukivuka Kwenye 50 tatu kwenye ajali ya Majinja na ukawavuka polisi wakaguzi kuitafuta Nyororo unapiga full kibati, ukitoka Nyororo kama wapo pale unavuta hadi unafika Nyigo hapo unafuata vibao Ukivuka Makambako unavuta hadi karibia na border na Mkoa w Mbeya huwa kun wanga na tochi lao, ukitoka hapo kuitafuta Ingawa full mtelezo hahaaa njia ya Moro-Iringa- Mbeya inaraha yake, utoke Ruaha Mbuyuni hakuna litochi hadi karibu na kupandisha kitonga ndo unakuwa mpole
Watu mnajua njia mita kwa mita
 
Jana usiku kabla ya Kabuku kuna mwenye lori ilikuwa atuue. Ingekuwa nimewahi sekunde tano tu leo nisingekuwa hapa naandika haya.
Ilikuwa kwenye kona na kwasababu giza lilishaingia nilikuwa mwendo fulani mdogo around 80kph nikaipita bodaboda inatembea pembeni.
Mbele kidogo naibuka kwenye kona naona Mita kadhaa mbele malori mawili yanaligi yananijia moja imejaa kwangu ilikuwa head-on collision! Nikawahi kufunga breki kali Lori linakuja tu nikaitoa gari pembeni ya barabara natizama bonde. Mwenye lori alikuja hadi Mita kama mbili tu akamlazimisha mwenzie akamchomekea kunikwepa mimi.
Wakati nahangaika hivi bodaboda nyuma yangu hajui nini kinaendelea akaniovateki akakutana na lori ikabidi yeye na abiria wake waingie kwenye bonde! Lori likaendelea na safari. Bodaboda waliinuka ila waliumia maana niliona wanachechemea huku wakijishika viuno! Mungu mkubwa.
 
Pole Sana, kuna madereva wa malori wanajifanya wako rough overtaking za hovyo wanazifanya haswa kwenye kona unakuta hata visibility siyo nzuri yeye analazimisha
 
Wewe acha tu, ningekuwa muoga ningeingia bondeni,wakati huo mwenye lori kaondoka watu wakinikuta kule wangesema mwendokasi gari imemshinda!
 
Jana usiku kabla ya Kabuku kuna mwenye lori ilikuwa atuue. Ingekuwa nimewahi sekunde tano tu leo nisingekuwa hapa naandika haya.
Ilikuwa kwenye kona na kwasababu giza lilishaingia nilikuwa mwendo fulani mdogo around 80kph nikaipita bodaboda inatembea pembeni.
Mbele kidogo naibuka kwenye kona naona Mita kadhaa mbele malori mawili yanaligi yananijia moja imejaa kwangu ilikuwa head-on collision! Nikawahi kufunga breki kali Lori linakuja tu nikaitoa gari pembeni ya barabara natizama bonde. Mwenye lori alikuja hadi Mita kama mbili tu akamlazimisha mwenzie akamchomekea kunikwepa mimi.
Wakati nahangaika hivi bodaboda nyuma yangu hajui nini kinaendelea akaniovateki akakutana na lori ikabidi yeye na abiria wake waingie kwenye bonde! Lori likaendelea na safari. Bodaboda waliinuka ila waliumia maana niliona wanachechemea huku wakijishika viuno! Mungu mkubwa.
Pole sana RR... Madereva wa malori uwa wako roughly mno, sijui uwa wanajionaje
 
Duuh Pole sana aise
 
Back
Top Bottom