Leo imetokea jioni njia ya mbagala-kongowe
Roli lililobeba lami lilikua linashusha mlima likafeli breki..chini ya mlima kulikua na gari tatu zinapanda ya kwanza tank la mafuta,ya pili canter ya mafuta pia na canter ya kawaida ....Mwenye roli la lami baada ya kuona breki zimefeli akawasha taa fulu ,,yule mwenye tank akawa ameshamsoma akampisha lakini akawa amechelewa akagongwa uso kwa uso ila upande wa abiria na pia lile lori zikavamia na gari za nyuma zile canter likaanguka hapo ...so ajali ya gari nne kwa wakati mmoja.
Nb:tetesi zinasema wamekufa wawili,,dereva na utingo wa lori la lami waliruka
View attachment 1713473View attachment 1713479