Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mt. Meru.

Halafu hii double road nina mkosi nayo kila mara.

Huwa najiachia kama Lewis Hamilton.

Mbele unapigwa mkono, ushapigwa tochi.

Na polisi wa huku hawataki 10k za kubrashi viatu.
20210418_163109.jpg
20210418_163229.jpg
 
Mt. Meru.

Halafu hii double road nina mkosi nayo kila mara.

Huwa najiachia kama Lewis Hamilton.

Mbele unapigwa mkono, ushapigwa tochi.

Na polisi wa huku hawataki 10k za kubrashi viatu.View attachment 1755529View attachment 1755537

Duh, hao yange yange wa huko mbona wakuda sana, Unakataaje 10k?

Kwaiyo wakikupiga mkono wanakuandikia kabisa?

Pengine mzee mwonekano wako unawaogopesha, wanadhani pengine ni afisa kipenyo [emoji28]
 
Mara kwa mara wakinikamata nikiwashikisha 10k wanarusha mikono kukataa.

Nawaacha waandike.

Kuweka 50kph kwa ile barabara sio poa.

Wanatunyima uhondo.
 
Duh, hao yange yange wa huko mbona wakuda sana, Unakataaje 10k?
Kwaiyo wakikupiga mkono wanakuandikia kabisa?
Pengine mzee mwonekano wako unawaogopesha, wanadhani pengine ni afisa kipenyo [emoji28]
1618772551921.png

picha ya @Boing 747
mimi hilo eneo pia nina mkosi nalo, kuna jamaa wanajificha kituo cha Chama pembeni ya geti la Mtei Ogaden Estate hawataki 10 kabisa, nimetermka toka Tengeru ndio naianza double road wakanizoom 65km.h nikabembeleza mpaka 15 nikaona nipokee tu cheti 30,000
basi safari nzima mpaka Dodoma nikawa mnyonge nisijepokea cheti kingine
 
View attachment 1755913

Kwa ujumla uzuri wa hii barabara kuweka speed limit 50 ni kuonena tu..[emoji849][emoji849]

Pale Sangsi inapoanzia na kuishia Sakina ni almost KM 14+,
Km zote hizo ni 50kph..[emoji849][emoji849][emoji849]
 
View attachment 1755913
picha ya @Boing 747
mimi hilo eneo pia nina mkosi nalo, kuna jamaa wanajificha kituo cha Chama pembeni ya geti la Mtei Ogaden Estate hawataki 10 kabisa, nimetermka toka Tengeru ndio naianza double road wakanizoom 65km.h nikabembeleza mpaka 15 nikaona nipokee tu cheti 30,000
basi safari nzima mpaka Dodoma nikawa mnyonge nisijepokea cheti kingine

Na kwa huu mkeka lazima ujiachie aisee...1
 
Pisi zibarikiwe milele wakuu!

Trip ya leo Dar to Dom nikasema lazima niweke pisi kushoto ndio kitaeleweka. Na ikawa hivyo.

Matokeo yake gari imeaverage 11km/l, hii ni engine ya petroli cc3500 ambayo nimezoea kutumia 8km/l highway.

Lazima nimtafute nimtoe hata lunch kwa pesa aliyonisave kwenye mafuta!
 
Back
Top Bottom