Mkorintho
JF-Expert Member
- Feb 17, 2009
- 594
- 1,141
Unaitafuta Uchira, Kiboriloni, YMCA chaapRolling Hills of Mt. Kilimanjaro.
Road Trip.
Dar - Arusha.
Location: Njia Panda
View attachment 1755397
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaitafuta Uchira, Kiboriloni, YMCA chaapRolling Hills of Mt. Kilimanjaro.
Road Trip.
Dar - Arusha.
Location: Njia Panda
View attachment 1755397
Hugos Moja.
Hapo Hugo's kuna Kuku kitunguu..Hugos Moja.
Moshi kuna matope leo.
Hakufai.
Mbuzi Kitunguu mzee.Hapo Hugo's kuna Kuku kitunguu..
Moshi ni msimu wa masika sasa
Mt. Meru.
Halafu hii double road nina mkosi nayo kila mara.
Huwa najiachia kama Lewis Hamilton.
Mbele unapigwa mkono, ushapigwa tochi.
Na polisi wa huku hawataki 10k za kubrashi viatu.View attachment 1755529View attachment 1755537
Mara kwa mara wakinikamata nikiwashikisha 10k wanarusha mikono kukataa.Duh, hao yange yange wa huko mbona wakuda sana, Unakataaje 10k?
Kwaiyo wakikupiga mkono wanakuandikia kabisa?
Pengine mzee mwonekano wako unawaogopesha, wanadhani pengine ni afisa kipenyo [emoji28]
Duh, hao yange yange wa huko mbona wakuda sana, Unakataaje 10k?
Kwaiyo wakikupiga mkono wanakuandikia kabisa?
Pengine mzee mwonekano wako unawaogopesha, wanadhani pengine ni afisa kipenyo [emoji28]
Matope ya huo mji si yakitoto, yananata balaa...Hugos Moja.
Moshi kuna matope leo.
Hakufai.
Unapita KWENYE himaya yangu halafu hupigi hodi..?Mt. Meru.
Halafu hii double road nina mkosi nayo kila mara.
Huwa najiachia kama Lewis Hamilton.
Mbele unapigwa mkono, ushapigwa tochi.
Na polisi wa huku hawataki 10k za kubrashi viatu.View attachment 1755529View attachment 1755537
Kwa ujumla uzuri wa hii barabara kuweka speed limit 50 ni kuonena tu..[emoji849][emoji849]View attachment 1755913
picha ya @Boing 747
mimi hilo eneo pia nina mkosi nalo, kuna jamaa wanajificha kituo cha Chama pembeni ya geti la Mtei Ogaden Estate hawataki 10 kabisa, nimetermka toka Tengeru ndio naianza double road wakanizoom 65km.h nikabembeleza mpaka 15 nikaona nipokee tu cheti 30,000
basi safari nzima mpaka Dodoma nikawa mnyonge nisijepokea cheti kingine
Nimeshazoea Morogoro road najiachia nikifika arusha naambulia cheti.Kwa ujumla uzuri wa hii barabara kuweka speed limit 50 ni kuonena tu..[emoji849][emoji849]
Pale Sangsi inapoanzia na kuishia Sakina ni almost KM 14+,
Km zote hizo ni 50kph..[emoji849][emoji849][emoji849]
Apache ni balaa. Sema caburator yake upatikana umenitesa sanaNdio mkuu. Roho jiwe [emoji23][emoji23]
Kwanini mkuu? Ilikufa carburetor? TVS hawana dukani?Apache ni balaa. Sema caburator yake upatikana umenitesa sana
Tumia ile BypassKwa ujumla uzuri wa hii barabara kuweka speed limit 50 ni kuonena tu..[emoji849][emoji849]
Pale Sangsi inapoanzia na kuishia Sakina ni almost KM 14+,
Km zote hizo ni 50kph..[emoji849][emoji849][emoji849]
ilikuwa infloat mara kwa mara. Nikanunua repair kit, fundi akazingua. Nikanunua carburator mpya muda wote ina mafua.Kwanini mkuu? Ilikufa carburetor? TVS hawana dukani?
View attachment 1755913
picha ya @Boing 747
mimi hilo eneo pia nina mkosi nalo, kuna jamaa wanajificha kituo cha Chama pembeni ya geti la Mtei Ogaden Estate hawataki 10 kabisa, nimetermka toka Tengeru ndio naianza double road wakanizoom 65km.h nikabembeleza mpaka 15 nikaona nipokee tu cheti 30,000
basi safari nzima mpaka Dodoma nikawa mnyonge nisijepokea cheti kingine
Sometime nijiachia kuleTumia ile Bypass
Tochi ziko mbili tu tokea mwanzo mpaka kule EngaremtoniSometime nijiachia kule