Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu Samahanini kidogo..
Nauza mashine za kuchanganya zege ( concrete mixer). Ni brand ya Honda , zina HP 8 kila moja na zinatumia Petrol. Ziko mbili na zimetumika nje( abroad) ziko in very good condition. Kwa mwenye uhitaji naomba ani PM.
Asanteni
 
Hivi kutoka dar to arusha usiku na kurudi pia usiku. Hua mnapata vichwa/abiria njiani? Kama ndio ni maeneo gani? Check points zipi wanakagua kagua sana usiku kwa njia hiyo kupitia bagamoyo?
 
Hivi kutoka dar to arusha usiku na kurudi pia usiku. Hua mnapata vichwa/abiria njiani? Kama ndio ni maeneo gani? Check points zipi wanakagua kagua sana usiku kwa njia hiyo kupitia bagamoyo?
Acha tabia ya kubeba vichwa ipo siku utabeba mhamiaji haramu ndo utaisomaa namba hiyo ndinga yako itataifishwa fasta

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Acha tabia ya kubeba vichwa ipo siku utabeba mhamiaji haramu ndo utaisomaa namba hiyo ndinga yako itataifishwa fasta

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Kwa kutokea Arusha nadhani kuna point humo humo Arusha vichwa vinakuwepo kama sio stand basi maeneo ya mbele toka stand! Kwa Moshi vichwa vipo kwa Mtei pale unapata ila uhakika zaidi ni pale Himo! Egesha chuma ingia bar sikilizia wadau wakuletee vichwa vikitimia unaamsha popo!
 
Umenena. Barikiwa.
 
chombo imepark kando ya B2, ikisubiria masela wajae safarini kwenda kwa kina 'Njomba Nchumali'View attachment 1763846

Sijui kwanini ila mara ya kwanza nilisoma kuwa ni RRONDO ndo ameandika hii quote.

Baada ya kusoma quote ya Karma akimuulizia double R nikarudi kuangalia kumbe ni wewe shuga sukari 😋....

Namuelewa anachohofia Karma.
 
Mtoto anamzimia mzee wa Road Trip itakuwa kamumisi misi kumuona hata aki Type humu 😹

Kuna kijana alioa mwaka jana December amefariki sijafahamu chanzo cha kifo chake. Huyo kijana ame trend sana kwenye status za Whatsapp picha zake za harusi.

Nahisi Karma ameunganisha kutoonekana kwa RRONDO kwenye huu uzi na kifo cha huyo kijana, hata nami ndo imeniingia akilini baada ya kuona quote ya Karma akiuliza kama kuna anayejua alipo double R.

Na kwenye status hapa JF baba Bataringaya alionekana mwisho ijumaa saa tatu asubuhi....!!😳😳



Hata mie nimeanza kuhofu..... is he okay....

Baba Taibali if you are around please show up....

Hizi anonymous ID saa ingine sio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…