Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ila Rrondo si haya na yule ni mpare? Ama maybe alificha tu?

Huku ni anonymous kila kitu......

Jamani naomba tuu aje atokee aseme yuko salama.

Ni watu wachache sana wanaweka wazi hadi kabila zao.

Yule ni Msuya, na akasafirishwa kwenda Arusha.

Namuonea huruma Natasha bado mdogo, mrembo. Mungu amtie nguvu, si rahisi.

Video zilionesha walikuwa marafiki labda kama waliigiza.

Sijafahamu tuu, chanzo cha mauti ya Msuya.
 
Duuh sijasikia hiyo taarifa aise yaani ndiyo nasikia kwako! Mungu wangu naomba tu isije ikawa ni yeye jamani!

Halafu eti siku zote huwa nafikiri ninyi mwafahamiana nje ya jf! Nimeona tu kimya sana ikabidi nimuulizie humu!
 
Msuya alikua amelala tu usiku akamwambia natasha anajisikia vibaya hivi moyo unaenda mbio sana nipeleke hospitali. Natasha ndo alikua anaamka wampeleke ghafla msuya akanyooka hapohapo maskini. Huo ukunga uliopigwa hapo achaaa..

Yes, natasha na mumewe were very good friends. Mimi kiatu chake hata sikitaki.

Katika mawazo yangu yote najuaga rrondo ni muhaya ndo maana akasema last Christmas anaenda kulia kaskazini as of hakua mwenyeji. And i thought u are dearly friends maskini. Ni kitu gani kimewafanya muwalink na huo msiba?
 
Siyo Muhaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…